BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
Eti wapendwa kuhusiana na hii mada, kuna ukweli kwamba kama hujaumizwa hujapenda?
Binafsi nimeumizwa, sidhani kama nimemuumiza mtu..Kama Gaga alivyosema, mtu unaweza kujipanga nitakuwa mwenyewe na kuwa na marafiki/family ila bado kuna kitu naonaga nakikosa maishani na ni nafasi pekee ambayo haizibiki yani sijui nielezee vipi..
Hivyo basi nimesamehe na nina imani ninaweza kukutana na mtu mwingine nikiufungua moyo wangu na kukutana na upande mwingine wa penzi..
Hivyo basi, kufungua moyo ni kuzuri baada ya kuumizwa sema unakuwa mwangalifu na kuwa +ve na uhusiano mpya...Japokuwa kidonda au historia ya kuumizwa haviishagi maishani!..