fungua moyo!

sikuamini hata kidogo, na wala sitaki nikuoneshe kama nakupenda sana sababu wanaume wote mpo sawa na wewe pia unaweza kunitenda kama yeye alivyonitenda....
a girl once told me, nami simlaumu kwa sababu na mm nilishatendwa na sijui kupenda tena kama mwanzo.
 
classic kabisa
 
Dah........jamani kwani wakati yuko China hawakuwa wanawasiliana? Nway pole zake,

hapo mwisho umesema jamaa hajaoa lakini je ana mahusiano yoyote? amejaribu kupenda tena au ndo hataki kabisa kuwasikia viumbe waitwao wanawake??

kama alivyosema Chauro kuwa kama mwenyewe hayuko tayari kujaribu tena au to rise again basi itakuwa ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu ukitegemea kupata unga wake au kuomba pumzi maiti kama asemavyo The Finest.

Yaanim walikuwa waki-communicate tena kwa gharama sana; kumbuka kipindi kile simu zilikuwepo chache na hapa nazungumzia mkoani ambako ilikua ni simu za TTCL, ila barua zilikuwepo sana, well, currently naye ameshawapiga chini akina dada kibao; sasa analipiza au ndio style aliyoichagua kwa kweli sijui.
 
Chauro,upendo hauna mafungu,upendo ni mmoja tu,kumkubali kila mmoja bila masharti,ndoa ni kumchagua mmoja kati ya hao kuwa pamoja nawe katika maisha na kuzaa watoto,kama akiishia njiani usimlazimishe wala usiwe kichaa,nenda kachague mwingine,hautakiwi kuangalia kama unapendwa bali toa upendo tu,hiyo ni sheria ya UPENDO!
 
Miongoni mwa mambo ambayo Counselling imeshindwa ni mambo hayo, kwa mfanio uliohai; mtu anakuja kwako na problem; tena ataumia lugha zile za "kipendwa". Mara ooh, yaani ndoa yangu ina moja mbili, tatu, sina amani mimi jamani, blah, blah, blah. Then you take your time, talking and discussing it, mnafikia makubaliano juu ya jambo hilo; akirudi akifika kwa jamaa yake au mke wake wameshapatana, wanaanza tena ooh huyo fulani kasema hivi na hivi, tena nadhani ndio anatuchonganisha huyu.....Duh, unaonekana kidudu mtu flani hivi, I think kwasababu hatukuwatafutia wenzi, wala hujui wala kutana wapi lini na vipi, inakuwa ngumu sana kuingilia mambo yao, tuwaache kama walivyo,, atakayeshindwa kabisa atakimbia tu.

Kweli kabisa na pia councelling haitakiwi iwe ile risala anayoisoma mtoa counselling........counselling inatakiwa kwanza anayecounselliwa awe amekubali kusaidiwa na kujisaidia mwenyewe. Ni kama ile Sick - role theory tunayoisikia...wewe unaumwa, unaenda hospitali Dr. anakuona anakupa dawa...........role yako ni kuhakikisha unapona kwa kufuata ushauri wa Dr na kunywa dawa itakikanavyo na pia kuiset mind na imani yako kuwa utapona.
 
My first love wa a jerk... Nili sacrifice a lot of things, a quality and quantity of my life time kwake..
Alinipanda, alinikanyaga, alininyanyasa kijinsia in short alinishika masikio na nilikua sifurukuti..
I was in love than i had never been before nafikiri ilichangiwa na the fact kua he was my first love
and first man to show me love and its wonderful intimacy side of it... BUT he was a Jerk!

Pamoja na yoote niliyoyapitia i have never regretted for imenifanya niwe appreciative sana
kwa a guy who loves and cares for me (sichukulii for granted).. I don't regret because i have
a wonderful child from him - I don't regret because he made me grow up in a woman who
now understands her self na which line to draw inapohusisha the man i love... (my hubby)
I don't regret because experience kama hizi is good for the soul and mind mradi uwe
na nguvu ya kurise... na napenda the fact kua ana regret and wishes tungekua
pamoja (F** him!)..
Mbu hapa am sorry...

Kwa wanaume mara nyingi ikitokea hivyo ni kazi kurudi... kikubwa ni kumpata mdada
mvumilivu na aelewe the situation ya the guy...

Asha umenikumbusha mbali sana mpenzi, umemaliza kila kitu nimeishiwa maneno kabisa. Halafu hapo bold umenifurahisha sana kwani wanachekesha sana watu mtu anakuacha kwa mbwembwe zote na madiodo kibao halafu baadae anaanza oooh unajua mimi na wewe wazazi mara wapenzi mara ushuzi gani hovyooooooooooo hukuyajua wakati unakurupuka, ila umenikooooooooooooooooooooooonga moyo. sana ni vile tu uko mbali na upeo wa macho yangu. Ubarikiwe
 
Asante ulishawahi kuchanganya viungo ukiamini vyote ni vizima lakini unashtukia kumbe vilikuwa vimeoza ...unarudia tena na tena halafu bado vinanukia uvundo na ukitafuta muuzaji mwingine humpati.

Chauro,upendo hauna mafungu,upendo ni mmoja tu,kumkubali kila mmoja bila masharti,ndoa ni kumchagua mmoja kati ya hao kuwa pamoja nawe katika maisha na kuzaa watoto,kama akiishia njiani usimlazimishe wala usiwe kichaa,nenda kachague mwingine,hautakiwi kuangalia kama unapendwa bali toa upendo tu,hiyo ni sheria ya UPENDO!
 
Asha umenikumbusha mbali sana mpenzi, umemaliza kila kitu nimeishiwa maneno kabisa. Halafu hapo bold umenifurahisha sana kwani wanachekesha sana watu mtu anakuacha kwa mbwembwe zote na madiodo kibao halafu baadae anaanza oooh unajua mimi na wewe wazazi mara wapenzi mara ushuzi gani hovyooooooooooo hukuyajua wakati unakurupuka, ila umenikooooooooooooooooooooooonga moyo. sana ni vile tu uko mbali na upeo wa macho yangu. Ubarikiwe

nimefurahi umefurahi Maty.. unajua watu wengi wanapopata mtu anawapenda saana
hasa walo young wanachulia for granted kua mapenzi na kujali kwa Asha D basi woote
wata fanya kwake hivyo hivyo... hilo ndo hunipa nguvu kuliko zoote anabadilisha wanawake
kila siku naona anajaribu tafuta another Asha D in them (am not bragging but nikipenda miguu yoote ndani)

Maty dear na hapo kwenye red hanigusi hata kwa kijiti!
 
Kweli kabisa na pia councelling haitakiwi iwe ile risala anayoisoma mtoa counselling........counselling inatakiwa kwanza anayecounselliwa awe amekubali kusaidiwa na kujisaidia mwenyewe. Ni kama ile Sick - role theory tunayoisikia...wewe unaumwa, unaenda hospitali Dr. anakuona anakupa dawa...........role yako ni kuhakikisha unapona kwa kufuata ushauri wa Dr na kunywa dawa itakikanavyo na pia kuiset mind na imani yako kuwa utapona.

Jamani mi naona hivi vitu havina formula kabisaaaaaaaa, wapo waliochagua sana wakaishia kupata vimeo (both males & females) wapo nao waliokurupuka wakapata vime0 ( pengine tungesema ndio stahili yao) lakini pia wapo wengine, they never tested the "taste" na walipojaribu wakakamatika. Acha hao; wapo na wengine ambao ni mabingwa wa ku-counsel wenzao lakini nyumba zao zimewashinda ( hawa ni mabingwa wa kutumia kanuni ya "Do what I say, not what I do". Ila kuna hili fungu ambalo halina formula, hawa daima ndio washindi, ni imani yangu tu.
 
Asante ulishawahi kuchanganya viungo ukiamini vyote ni vizima lakini unashtukia kumbe vilikuwa vimeoza ...unarudia tena na tena halafu bado vinanukia uvundo na ukitafuta muuzaji mwingine humpati.
Chauro ukijaribu kuvianika juani kunaweza kuwa na unafuu fulani au ahueni????
 
HAWEZI KUPENDA tena kwasababu HATAKI au kwasababu amejaribu IKASHINDIKANA???

Ukikutana na watu wengi ambao wamewahi kuumizwa ambao wameacha maumivu nyuma na kujikuta wanapenda tena watakwambia kabisa kwamba nilipoumizwa sikupanga/taka/tarajia kupenda tena!Wengi sana wanapitia hiyo stage...na kitu pekee kinachoweza kumuondolea mtu hayo mawazo na kwa kugundua kwamba sio wanawake/wanaume wote ni matapeli wa mapenzi.Ni kiasi tu cha kuamini inawezekana akapendwa na kupenda kuliko hata alivyotarajia mwanzo!!!Njia ya kumsaidia ni kumweleza haya nlotangulia kusema....mfanye aondokane na mawazo ya ''WANAWAKE/WANAUME WOTE NI WASHENZI TU''.Baada ya hapo ataupa moyo wake uhuru wa kuanguka popote pale utakapoona sahihi.

Kuhusu inakuaje ukiwa kwenye mahusiano na mtu wa aina hii cha muhimu ni wewe kumuonyesha kwamba hauko vile alivyokua huyo aliyepita na huwezi kumtenda vile.Mpende kadri ya uwezo wako mwishoni moyo wake utafunguka bila hata yeye kujua.
 
Finest! hizi gundi zisije zikawaganda na wengine maana sio ganzi anayoongelea Mbu subiri nitulie ntavianika.
Hahahaha!!! Tena vianike huku ukiwa umevisambaza usiviweke sehemu moja maana vyaweza kushikamana kama gundi
 
...If You fail to control your OWN MIND, You may be sure you will control nothing else...

sio mtaalam wa saikolojia lakini hii inshu inategemea position ya mhusika katika mahusiano yaliyovunjika. kama mhusika amekerwa so much na ameamua kuacha, anakuwa na walau nguvu ndani yake ya kuweza kumsukuma kusimamia kile alichokiamini kuwa ni sahihi au kile anachotaka kukitetea. Kwa hili his mind inaweza kucontrol his will (heart). lakini hali itakuwa kinyume kama yeye ndo aliyeachwa. manake kwanza kuna shock ya kuachwa. kichwa kinatafakari sababu ya kuachwa huku moyo ukiuma kwa kuachwa. hapo control ya mind inaweza kuwa ngumu sana na huenda ikategemea strength ya mtu na mtu na pia genders. wanaume tunaweza pata kinguvu ndani yetu cha kutuwezesha to keep going. unaweza hamia kwenye kinywaji for a while na of course womanisation ya hasira, kama vile unatoa adhabu kwa hawa watu wasio na shukrani. lkn with time (very essential) akili (the mind) inarudi na unaanza kuwa na control ya will (the heart) na hapo unaanza kujipanga upya. kwa wenzetu wa-beijing depression ya kuachwa inaweza pelekea kuzidi kujizamisha chini, kujiona kama kawa kinyaa, reject etc. hii inaweza mpelekea kuwa na further depressions na hater wa wanaume. ukutanapo na mtu wa aina hii, u have to be very patient, kama you are really into her. vinginevyo wala hutopoteza muda. my take is to help anyone in such a situation to realise that 'falling down does not mean burial.' (hey am gonna take this as my signature!!). parents and close friends would be very useful in situations like this.
 
nimefurahi umefurahi Maty.. unajua watu wengi wanapopata mtu anawapenda saana
hasa walo young wanachulia for granted kua mapenzi na kujali kwa Asha D basi woote
wata fanya kwake hivyo hivyo... hilo ndo hunipa nguvu kuliko zoote anabadilisha wanawake
kila siku naona anajaribu tafuta another Asha D in them (am not bragging but nikipenda miguu yoote ndani)

Maty dear na hapo kwenye red hanigusi hata kwa kijiti!

Hapo blue ni kweli kabisa my dear mi namwambiaga bora nikamgawie chizi kichochoroni kama wa kuwapa wengine watakosekana. Ni kujidhalilisha ati lol. Ila sijui wakoje hawa viumbe wanafikiri wanawake wote ni vipofu
 
HAWEZI KUPENDA tena kwasababu HATAKI au kwasababu amejaribu IKASHINDIKANA???

Ukikutana na watu wengi ambao wamewahi kuumizwa ambao wameacha maumivu nyuma na kujikuta wanapenda tena watakwambia kabisa kwamba nilipoumizwa sikupanga/taka/tarajia kupenda tena!Wengi sana wanapitia hiyo stage...na kitu pekee kinachoweza kumuondolea mtu hayo mawazo na kwa kugundua kwamba sio wanawake/wanaume wote ni matapeli wa mapenzi.Ni kiasi tu cha kuamini inawezekana akapendwa na kupenda kuliko hata alivyotarajia mwanzo!!!Njia ya kumsaidia ni kumweleza haya nlotangulia kusema....mfanye aondokane na mawazo ya ''WANAWAKE/WANAUME WOTE NI WASHENZI TU''.Baada ya hapo ataupa moyo wake uhuru wa kuanguka popote pale utakapoona sahihi.

Kuhusu inakuaje ukiwa kwenye mahusiano na mtu wa aina hii cha muhimu ni wewe kumuonyesha kwamba hauko vile alivyokua huyo aliyepita na huwezi kumtenda vile.Mpende kadri ya uwezo wako mwishoni moyo wake utafunguka bila hata yeye kujua.
Ubarikiwe Sana na Baraka za Bwana zikae juu yako.
 
[/SIZE]

Hapo blue ni kweli kabisa my dear mi namwambiaga bora nikamgawie chizi kichochoroni kama wa kuwapa wengine watakosekana. Ni kujidhalilisha ati lol. Ila sijui wakoje hawa viumbe wanafikiri wanawake wote ni vipofu

Wanajua sana sie sio vipofu... tatizo wanajua dhaifu letu kubwa....
We stake our hearts not our mind.. very very dangerous...
Sometimes i envy wanaume na roho zao za tamaa,
uki release hamu imeisha wakati sisi uki release ndo umeharibu kabisaa!!
Ila mpenzi chizi kichochoroni...lol.. si bora nitoke nipate one nite stand...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom