fungua moyo!

Wanajua sana sie sio vipofu... tatizo wanajua dhaifu letu kubwa....
We stake our hearts not our mind.. very very dangerous...
Sometimes i envy wanaume na roho zao za tamaa,
uki release hamu imeisha wakati sisi uki release ndo umeharibu kabisaa!!
Ila mpenzi chizi kichochoroni...lol.. si bora nitoke nipate one nite stand...

One nite stand???Maybe!But haisaidii,maybe three nite unaweza kushiba!
 
Hahahaha incase hata one night stand siwezi pata, kitu ambacho sio rahisi walahi ni bora nimpe chizi hakyanani
 
Huyu atakuja kupenda mpaka asahau kama alikuwa ameufunga moyo ,iko siku atakutana na mtu na kudhani amekutana na malaika
Niliwahi kusema naapa sitapenda tena..
Baada ya yule niliyempenda kwenda nchi za mbali na kuoa huko huko bila kuniambia ..kisha kunifanyia suprise ya picha za harusi
Sitaki hata kukumbuka
 
Polee!!
 
Maty what about ile ya self fulfillment?

Hahahaha Asha dont take it seriously my dia, kwani ya chizi hiyo nilikua nawekea mkazo tu lol. Bahati nzuri wadada tumejaaliwa kuhimili tamaa za mwili pia nikitaka hiyo kitu siwezi kosa wa kumalizia. Ila kwa yule ndio nasemaga bora ya mwehu kuliko yeye
 
sio mtaalam wa saikolojia lakini hii inshu inategemea position ya mhusika katika mahusiano yaliyovunjika. kama mhusika amekerwa so much na ameamua kuacha, anakuwa na walau nguvu ndani yake ya kuweza kumsukuma kusimamia kile alichokiamini kuwa ni sahihi au kile anachotaka kukitetea. Kwa hili his mind inaweza kucontrol his will (heart). lakini hali itakuwa kinyume kama yeye ndo aliyeachwa. manake kwanza kuna shock ya kuachwa. kichwa kinatafakari sababu ya kuachwa huku moyo ukiuma kwa kuachwa. hapo control ya mind inaweza kuwa ngumu sana na huenda ikategemea strength ya mtu na mtu na pia genders. wanaume tunaweza pata kinguvu ndani yetu cha kutuwezesha to keep going. unaweza hamia kwenye kinywaji for a while na of course womanisation ya hasira, kama vile unatoa adhabu kwa hawa watu wasio na shukrani. lkn with time (very essential) akili (the mind) inarudi na unaanza kuwa na control ya will (the heart) na hapo unaanza kujipanga upya. kwa wenzetu wa-beijing depression ya kuachwa inaweza pelekea kuzidi kujizamisha chini, kujiona kama kawa kinyaa, reject etc. hii inaweza mpelekea kuwa na further depressions na hater wa wanaume. ukutanapo na mtu wa aina hii, u have to be very patient, kama you are really into her. vinginevyo wala hutopoteza muda. my take is to help anyone in such a situation to realise that 'falling down does not mean burial.' (hey am gonna take this as my signature!!). parents and close friends would be very useful in situations like this.
Uliyosema ni kweli kabisa! Na lazima tujue " 'falling down does not mean burial.'".
Sijui kama yupo ambaye hajaumizwa na mapenzi na kama yupo ni heri kwake! Lakini ni kweli atakuwa hajakomaa. La muhimu ni mtu mwenyewe kuikataa hali hiyo na kukubali kuanza upya! NI ngumu sana na ni vigumu kumwamini kila utayekutana naye,lakini how long utakaa katika hali hiyo? jiulize, Tafakari na Chukua hatua!
 
.........Nyie mabinti hebu taratibuni..........mnanichekesha tu humu na mie leo nina mtindio wa mawazo! ctaki.

MJ1 umekumbwa na nini tena jamani:A S-rose:
Wewe ni kati ya watu nisiopenda kusikia wala kuona wanasononeka ....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
.........Nyie mabinti hebu taratibuni..........mnanichekesha tu humu na mie leo nina mtindio wa mawazo! ctaki.

Hahahaha lol! MJ1 hivi nakuibia andawea yako halafu unakuja ikuta juu ya kamba yangu, matokeo yake unakua unachukua unavaa halafu unafua unanirudishia pale pale, hiyo si bora utembee without tu lol
 
Asha umenikumbusha mbali sana mpenzi, umemaliza kila kitu nimeishiwa maneno kabisa. Halafu hapo bold umenifurahisha sana kwani wanachekesha sana watu mtu anakuacha kwa mbwembwe zote na madiodo kibao halafu baadae anaanza oooh unajua mimi na wewe wazazi mara wapenzi mara ushuzi gani hovyooooooooooo hukuyajua wakati unakurupuka, ila umenikooooooooooooooooooooooonga moyo. sana ni vile tu uko mbali na upeo wa macho yangu. Ubarikiwe !

nimefurahi umefurahi Maty.. unajua watu wengi wanapopata mtu anawapenda saana
hasa walo young wanachulia for granted kua mapenzi na kujali kwa Asha D basi woote
wata fanya kwake hivyo hivyo... hilo ndo hunipa nguvu kuliko zoote anabadilisha wanawake
kila siku naona anajaribu tafuta another Asha D in them (am not bragging but nikipenda miguu yoote ndani)

Maty dear na hapo kwenye red hanigusi hata kwa kijiti!

Hapo blue ni kweli kabisa my dear mi namwambiaga bora nikamgawie chizi kichochoroni kama wa kuwapa wengine watakosekana. Ni kujidhalilisha ati lol. Ila sijui wakoje hawa viumbe wanafikiri wanawake wote ni vipofu !

Wanajua sana sie sio vipofu... tatizo wanajua dhaifu letu kubwa....
We stake our hearts not our mind.. very very dangerous...
Sometimes i envy wanaume na roho zao za tamaa,
uki release hamu imeisha wakati sisi uki release ndo umeharibu kabisaa!!
Ila mpenzi chizi kichochoroni...lol.. si bora nitoke nipate one nite stand...

Hahahaha incase hata one night stand siwezi pata, kitu ambacho sio rahisi walahi ni bora nimpe chizi hakyanani

Maty what about ile ya self fulfillment?!

........Nyie mabinti hebu taratibuni..........mnanichekesha tu humu na mie leo nina mtindio wa mawazo! ctaki.!

One nite stand???Maybe!But haisaidii,maybe three nite unaweza kushiba!

Eiyer Eiyer my brother please don't judge me ni mjadala umetoka mbali mpaka tukafika one night stand...lol
 
Hahahaha Asha dont take it seriously my dia, kwani ya chizi hiyo nilikua nawekea mkazo tu lol. Bahati nzuri wadada tumejaaliwa kuhimili tamaa za mwili pia nikitaka hiyo kitu siwezi kosa wa kumalizia. Ila kwa yule ndio nasemaga bora ya mwehu kuliko yeye

Nimekupata dear was enjoying the imagination...lol..
 
Huyu atakuja kupenda mpaka asahau kama alikuwa ameufunga moyo ,iko siku atakutana na mtu na kudhani amekutana na malaika
Niliwahi kusema naapa sitapenda tena..
Baada ya yule niliyempenda kwenda nchi za mbali na kuoa huko huko bila kuniambia ..kisha kunifanyia suprise ya picha za harusi
Sitaki hata kukumbuka

waswahili wana methali inasema
hujafa hujaumbika
 
Mkuu Mbu kama umenisemea mimi vile, moyo wangu una ganzi kabisa, nipo jamaa yangu hapa nafanya mambo kumridhisha yeye coz ni mlalamishi sana,usipompigia simu analalamika, usipojibu message analalamika, usipomwambia i love you analalamika,kwa kuwa sipendi kulalamikiwa kila siku imenibidi tu niwe nafanya anayoyapenda ila kiukweli sifanyi kutoka ndani ya moyo wangu sijisikii kabisa kufanya hivyo. kila mda napata hisia kwamba anaweza kunitenda mda wowote, sijui nifanye nini niyafanye yote hayo kwa upendo
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom