fungua moyo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

fungua moyo!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbu, Jun 1, 2011.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  ...rafiki yangu alinambia ameumizwa sana kwenye mapenzi kiasi kwamba anaona moyo wake umekufa ganzi, amekuwa mkatili,...hawezi kupenda tena!

  [​IMG]

  Kina dada, na kina kaka....wazee kwa vijana. Najua kwa namna moja au nyingine
  mshakumbana na wenye hali hii. Mnatoa maoni na ushauri gani kuweza kusaidia kwenye situation
  hii.

  ...Unapopendana na mtu wa aina hii, utajuaje anakupenda na si kwamba yumo mguu ndani mguu nje?
   
 2. Mbwiga_Plus

  Mbwiga_Plus Senior Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilipendana na msichana aliyekuwa amebikiriwa na kupata mimba siku hiyohiyo, na matokeo jamaake akaikataa mimba na mtoto!
  Msichana huyu alikuwa na tabia za pekee sana katika mahusiano na mimi hasa tunapokuwa na privacy...ni mwoga wa kila kitu, anapeleka kumbukumbu zote kwenye tukio la kwanza na kuhisi huenda akaishia kutelekezwa tena!

  Cha kufanya kwa watu wa namna hii (kama atakuwa amekusimulia) basi ni kumfanyia councelling, hakuna dawa ingine itakayoingia kwenye bongo yake zaidi ya assurance kuwa utamtunza na atakuwa katika mikono salama!
  Kwa ufupi wanahitaji sana mawasiliano ya mdomo, au kusemezana!
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  My first love wa a jerk... Nili sacrifice a lot of things, a quality and quantity of my life time kwake..
  Alinipanda, alinikanyaga, alininyanyasa kijinsia in short alinishika masikio na nilikua sifurukuti..
  I was in love than i had never been before nafikiri ilichangiwa na the fact kua he was my first love
  and first man to show me love and its wonderful intimacy side of it... BUT he was a Jerk!

  Pamoja na yoote niliyoyapitia i have never regretted for imenifanya niwe appreciative sana
  kwa a guy who loves and cares for me (sichukulii for granted).. I don't regret because i have
  a wonderful child from him - I don't regret because he made me grow up in a woman who
  now understands her self na which line to draw inapohusisha the man i love... (my hubby)
  I don't regret because experience kama hizi is good for the soul and mind mradi uwe
  na nguvu ya kurise... na napenda the fact kua ana regret and wishes tungekua
  pamoja (F** him!).. Mbu hapa am sorry...

  Kwa wanaume mara nyingi ikitokea hivyo ni kazi kurudi... kikubwa ni kumpata mdada
  mvumilivu na aelewe the situation ya the guy...
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mmmmhhh
  ninachoelewa ni ngumu
  kependa tena na kumtrust mtu
  yeyote.. zidi kusukuma siku mbele
  and hope for the best... tafuta
  furaha na amani moyoni mwako
  ..look after yourself 1st...
   
 5. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huwa ni ngumu sana Mbu,na kuna wakati unaweza jiona ni mwenye mikosi. inabidi yeye mwenyewe ayakubali mabadiliko in a positive way lasivo hata useme nini kama yeye mwenyewe hatakubali hayo ni mapito na yana kila aina ya uzuri na ubaya ndani yake mambo yatakuwa yaleyale.

  Hata atapopata mpenzi mzuri kupitiliza,bado atamuona ni mbaya sababu bado anaishi na majeraha aliyobebeshwa na watu wengine.
   
 6. n

  nyauvi Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  me siamini kama kweli mtu waweza penda kama huna akili timamu.
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu kama hujawahi ona
  ni ngumu kuamini kama hujapitia
  au shuhudia... ni kitu kizuri sana
  lakini sasa kikipinduka mmmhhh
  balaa
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  If only people practice what they preach
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  LOVE............!(vyovyote itakavyoutwa MAPENZI,MALOVEEE,KUPENDANA)

  it's a problem without solution
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Don't get me wrong but i think LOVE DOESN'T MAKE NO SENSE
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Jun 1, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Duh Mbu.........this thread is one in a million kwa kweli.
  All that I can say ni kuwa mchangia mada wa kwanza ameyasema yote ninachoongezea tu hapo ni TIME................ unapoanza na mtu ambaye ameumizwa kuna umuhimu wa kumpa assurance kama alivyosema Mbwiga plus and then it should be backed up with time........kuzoea na kuanza kutrust tena huchukua muda kiasi so time heals.
  All teh best.

  NB: Kabla hujainvest hayo yote, you need to sit down na kuongea ili mkubaliane kwa pamoja kuwa hata yeye yuko tayari kuparticipate katika hiyo healing process.
   
 12. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Pendo,mapenzi,Kupenda naamini nikwamba penzi ni mara moja!!haijalishi upo katika status gani yule unaye mpenda kwa wakati huo ndiye roho yako imemwangukia!!Kwa maana hiyo ukiwana na mke nyumbani ukakutana na Afrodenzi ujue huyo ndo unayempenda wanyumbani huna mapenzi naye! hivyo narudi huku hakuna aliyeumizwa nikwamba mda wake wakupendwa umeisha ajipange upya hakuna kulalamika nimetendwa NO!!
   
 13. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #13
  Jun 1, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  AD umenena vema but hiyo look after yourself first, sometimes the person anayemzungumzia ni sehemu ya hiyo self yake yeye.......one cant ignore!
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  Jun 1, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  AshaD I salute you!! Yaani kweli umekomaa kimapenzi na hivi ndivyo wengi tunatakiwa kuwa....umependa, ukaumizwa tusiichukulie ile kuumizwa kama mkosi bali kama baraka ya kutufunza jinsi ulimwengu wa mapenzi ulivyo.I believe ambaye ameingia kwenye mapenzi bila kuumizwa hata kama anaishi maisha ya raha vije ..bado ni naive kwenye mapenzi na siku gharika lolote hata dogo likimtokea impact yake kwake itakuwa kubwa sana.

  Lets us learn from the Maumivu so that we appreciate wapenzi wetu.
  hapo kwenye red hapo mydia nakuunga mkono kabisa..........wanawake tumeumbwa kusahau kama tutasahaulishwa..... ila nijuavyo wanaume wameumbiwa mioyo migumu so kuumizwa kwao huwa si rahisi sana but ukimpata aliyeumizwa akaumia inakuwa ngumu sana kwa yeye kutrust...................sana sana atakuwa anatoa kauli ya ...Wanawake ndivyo mlivyo......all the time.
   
 15. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kwa kweli inasikitisha sana jinsi binadamu anaweza mtesa mwenzake kwa kiasi cha namna hii, mpaka mtu kujiona astahili kuishi, kupenda tena, na aliyeumizwa leo, na yeye atamuumiza mwingine kesho.... na hii ya kupenda usikopendwa nako inasababisha sana haya yanayotukuta kwenye mahusiano kwa hope kwaamba mnavyoendelea ndio atabadilika na kukupenda...thats why mi napenda kujipa raha za maisha to the fullest!!! sijui la kesho ni nini
   
 16. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Yaaaaani hiyo bold inanihusu kabisa lol!!!! mwanajamiiOne mie sikuwahi kuumizwa kabisa na kuvunjwa moyo kipindi cha u GF hadi baada ya ndoa ndio nilikiona cha mtema kuni, ila ni baada ya kipindi kirefu tu na ikikutokea unayumba haswa maana gharika lake linakuwa na nguvu ya elninyo
   
 17. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Big up bro
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  I understand where it is coming from but it is worth it!
  Unanitia wasi was PA for inaonesha you still have a grudge
  na mtu alokuvunja moyo... nime observe your line since jana
  from another post..
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Mwanjamii I want you to know you have made me happy... saana
  na nashukuru pia kwa muono wako kufanana na wangu - ndio yahitaji
  moyo, nguvu na ujasiri but for a woman i believe ukizaa inabidi ikukomaze
  ki akili na kimatendo pia... namshukuru Mwenyezi Mungu kwa hilo...


  The Following User Says Thank You to MwanajamiiOne For This Useful Post:

  Asha D (Today) ​
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  MJ1 mambo vipi dear..
  nway naelewa kwamba hiyo
  self inaweza kum involve yule
  mwingine kwa kiasi kikubwa sana..
  lakini nilichokuwa na suggest hapo
  ni kutafuta njia ya kujitunza na
  kufurahisha nafsi yako binafsi..
  mfano chukua holiday, ungana na
  marafiki fanya vitu wewe uvipendavyo kusukuma muda mbele na kujaribu ku minimuse
  feelings and thoughts za upande
  wa pili...
  santeee
   
Loading...