fungua moyo!

Pendo,mapenzi,Kupenda naamini nikwamba penzi ni mara moja!!haijalishi upo katika status gani yule unaye mpenda kwa wakati huo ndiye roho yako imemwangukia!!Kwa maana hiyo ukiwana na mke nyumbani ukakutana na Afrodenzi ujue huyo ndo unayempenda wanyumbani huna mapenzi naye! hivyo narudi huku hakuna aliyeumizwa nikwamba mda wake wakupendwa umeisha ajipange upya hakuna kulalamika nimetendwa NO!!
Mkuu watu wote tungekuwa na attitude hii, mbona kulialia kungeisha zamani, na pia nyuzi nyingi sana tusingeziona humu. All in all nimeipenda sana perspective yako.
 
Lakini haya mambo ya kufungua moyo haya....... mwisho unafungua hadi zipu!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
The rest of the paragraph a guy kurudi ndo shida... ampende mwanamke wholeheartedly alfu atibuliwe, wataofuata woote watamtambua with his stupid poor negative attitude towards women with a few exceptions...

kuna ukweli kwenye hili ingawa as yo uhave qualified it, sio wote na c mara zote. ninao mfano live kabisa (ila sitaku kuudisclose ni wa nani katika maisha yangu). mkewe alizaa watoto mara 2 wakiwa kwenye ndoa yao - mind you NDOA na sio uBF/uGF. watoto ambao sio wa huyo mume. ingawa hivyo waliendelea kuwa ktk ndoa yao na walizaa watoto wengi wengine. nadhani ni issue ya timing, aina ya reconciliation itakayotolewa na willingness ya wrong doer kuomba radhi etc. mazingira hayo yote yata-determine outcome ya hayo mahusiano yaliyoingia majaribuni
 
Gaga amesema kitu cha muhimu sana unaweza kuwa na marafiki, unaweza kujipa raha mwenyewe lakini still you'll see something missing in the otherway round when you try to bring someone close he/she pushes you far away you go through a lot of misery.

Baba Enock amesema if you fail to control your OWN MIND, you may be sure you will control nothing else hii statement ina ukweli mwingi tu ndani yake.
Inaonesha ni namna gani mapenzi yana nguvu sana, jana asubuhi nilimsikia mdada wa clouds kwenye PB anamuuliza Gerald Hando if he ca walk a thousands miles for someone he loves, hapo ndio nilijua watu wengi wanaumizwa, unajua alimjibuje, yeye hawezi tena mambo hayo na wala hataki kabisa kupenda, eti unaweza tembea hizo miles ukamkuta kule yule unayemtembele keshafika amemtembelea mwingine, nilicheka sana sana sana.....ukisikia watu kama hao watangazaji wanasema hivo kuhusu mapenzi, hapo unajua kabisa kwamba watu wengi wanaumizwa sana, kwa hiyo tusikate tamaa ya ku move on
 
kuna ukweli kwenye hili ingawa as yo uhave qualified it, sio wote na c mara zote. ninao mfano live kabisa (ila sitaku kuudisclose ni wa nani katika maisha yangu). mkewe alizaa watoto mara 2 wakiwa kwenye ndoa yao - mind you NDOA na sio uBF/uGF. watoto ambao sio wa huyo mume. ingawa hivyo waliendelea kuwa ktk ndoa yao na walizaa watoto wengi wengine. nadhani ni issue ya timing, aina ya reconciliation itakayotolewa na willingness ya wrong doer kuomba radhi etc. mazingira hayo yote yata-determine outcome ya hayo mahusiano yaliyoingia majaribuni
DNA zimeumbua wengi ndio maana imefutwa na serikali mpaka kwa kesi za mahakamani kabisa
 
kuna ukweli kwenye hili ingawa as yo uhave qualified it, sio wote na c mara zote. ninao mfano live kabisa (ila sitaku kuudisclose ni wa nani katika maisha yangu). mkewe alizaa watoto mara 2 wakiwa kwenye ndoa yao - mind you NDOA na sio uBF/uGF. watoto ambao sio wa huyo mume. ingawa hivyo waliendelea kuwa ktk ndoa yao na walizaa watoto wengi wengine. nadhani ni issue ya timing, aina ya reconciliation itakayotolewa na willingness ya wrong doer kuomba radhi etc. mazingira hayo yote yata-determine outcome ya hayo mahusiano yaliyoingia majaribuni

Sina jinsi you are right.. I always admit that am lucky and as much as it is not allowed to say so yourself i know for a fact that God created a strong heart and mind though very sensitive in special cases i can not control... inanima hasa mambo yahusuyo akina mama.. wana too much luggage (that i got at first hand...) I only wish my fellow ladies/females/women out there if only they new and acknowledged how powerful they are in this God forsaken complicated world... many things would have been better... NOT powerful in the sense being more than a man.. Personally I am proud to be a women... and love being treated as such in speacial cases... Dah! i can not say much hii topic ya wamama huniweka down...
 
Don't note that down... you were not supposed to see this!
Orait Orait
hahahaaaaaaa..... mambo mengine yanaishia chini ya kapeti aisee:biggrin1:
Cousin hapa katoa jibu muafaka
Lakini haya mambo ya kufungua moyo haya....... mwisho unafungua hadi zipu!!
Zipu zingine kasheshe tupu halafu ukute zipu yenyewe ya jeans hapo sasa
Exactly... unajua other discussions you get carried away...lol
You get blown by the........
 
Orait Orait

Cousin hapa katoa jibu muafaka

Zipu zingine kasheshe tupu halafu ukute zipu yenyewe ya jeans hapo sasa

You get blown by the........

Usha anza utundu wako.... am telling you don't repeat... i repeat... Don't repeat...lol..
naona MTM alitakiwa anipe ushauri wa under the carpet before.. :A S 39:
 
The thing is

Unafungua moyo kwa funguo gani, ya zamani ama funguo mpya? Kama moyo umejifunga kwa sababu ufunguo wake wa kawaida haufungui tena, ufunguo mpya unaweza kuufungua ama inabidi huo mpya uwe ni kama 'fungo malaya' hivi ndo moyo ufunguke?

Na moyo ukikaa muda mrefu hali umefungwa, hauoti kutu?

am just thinking...
 
unafungua kwa funguo mpya bwana Kaizer kwani wewe haijakukuta hii balaa ?katika maisha yako yote:biggrin1:
 
Inaonesha ni namna gani mapenzi yana nguvu sana, jana asubuhi nilimsikia mdada wa clouds kwenye PB anamuuliza Gerald Hando if he ca walk a thousands miles for someone he loves, hapo ndio nilijua watu wengi wanaumizwa, unajua alimjibuje, yeye hawezi tena mambo hayo na wala hataki kabisa kupenda, eti unaweza tembea hizo miles ukamkuta kule yule unayemtembele keshafika amemtembelea mwingine, nilicheka sana sana sana.....ukisikia watu kama hao watangazaji wanasema hivo kuhusu mapenzi, hapo unajua kabisa kwamba watu wengi wanaumizwa sana, kwa hiyo tusikate tamaa ya ku move on
Aliimba SADE akisema NO ORDINARY LOVE
YouTube - ‪Sade - No Ordinary Love‬‏
 
Back
Top Bottom