Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

Na mimi namaanisha hivyo pia,aligeuka kutazama kile kilichokuwa kinaendelea nyuma yake maana alisikia makelele na vilio wakati wakikimbia kutoka nje ya jiji lile.....

"Curiosity"
mimi nazani huyu mama alikuwa natabia ya kuchepka...nahuko kwenye michepuko alikuwa fundi wa kugeuka nyuma...ukirelate story kilichomkasilisha sir God nitabia za kugezana..so hilo nifumbo tu
 
mimi nazani huyu mama alikuwa natabia ya kuchepka...nahuko kwenye michepuko alikuwa fundi wa kugeuka nyuma...ukirelate story kilichomkasilisha sir God nitabia za kugezana..so hilo nifumbo tu
Wakuu mkisoma divinity vizuri hasa ukifuatilia habari za waebrania, utagundua kuwa kilichomfanya mke wa lutu ageuke nyuma ni:-

- Kukumbuka mali alizoacha, kwani alikuwa akiwahudumia kwa chakula wanaume wa miji ile michafu.

- Alikumbuka starehe alizoziacha kule (yawezekana alikuwa akishiriki sodomization)
 
Kuna uwezekano cain alikuja kuzaa huku Afrika na alikuwa mtu mweusi [emoji12]

Au alikuja na dada yake mmoja kwasbb Adam alikuwa na watoto wa kike pia
aaa wejamaa umeambiwa dunia ilikuwa na watu wawili tu..adam eva..sasa haowafrica waliumbwa nanani...au ni miongoni mwa wanyama (masokwe) hivyo hawakuhesabka kama binadamu
 
aaa wejamaa umeambiwa dunia ilikuwa na watu wawili tu..adam eva..sasa haowafrica waliumbwa nanani...au ni miongoni mwa wanyama (masokwe) hivyo hawakuhesabka kama binadamu
Kwani wewe una uhakika kuwa Adam na Eva hawakuwa watu weusi?

Au unadanganywa na zile picha za wasabato na mashahidi wa yehova?
 
Ngoja nisaidie kuelezea kidogo Kwa ufahamu kidogo nilio nao kwenye Hii knowledge
Mke wa Lutu alikaidi amri ya Mungu Ndio maana akageuzwa kua nguzo ya chumvi sababu alikua miongoni mwa hao wana sodoma Na Mungu alijua Ndio maana akasema usiangalie nyuma hata Safari ya wana wa Israel wale walio mlalamikia Musa amekuja kuwaua jangwani utaona Ni wale walio ungana Na akina Kora kutengeneza ndama wa dhahabu Na wakaanza kumwabudu Na hao Ndio walio mezwa Na ardhi Ndio chanzo cha ardhi kumeza watu live Sasa sijasema wanaomezwa Na ardhi Ni walio abudu sanamu.
Binti Za Lutu walikosea kuzaa Na baba Yao Kwani ndio walio zaa waboamu ambao kulitengeza Kabila lililokuja kuwa pinga Sana wana wa Israel Ni Kabila ambalo Mungu alililaani Na ndio maana Mungu kwenye kitabu cha mambo ya walawi(Leviticus )alitoa amri kadhaa pale Na adhabu zake ambazo waarabu mpk Leo wanazitumia kuadhibu moja wapo Ni mtu akikutwa amezini adhabu ya kupigwa mawe hadi kufa
Sasa uzinzi Au tamaa ya kuzini iko hivi :kwenye kitabu cha Mithali kina sema (Azinie Na mwanamke hana akili kabisa afanya mambo ya kuikosesha Nafsi yake Na kumsababishia aibu )
Tunarudi Kwa mke wa Lutu aibu mpk Leo ya kugeuzwa jiwe la chumvi..
Natumai hata Kwa pacent ndogo Sana kuna mtu ataelewa
 


As far as google is concerned there is no scientific proof or archeological evidence on existance and destruction of sodom and gomoroh


Biblia inasema...
"Then the Lord rained upon Sodom and upon Gomorrah brimstone and fire from the Lord out of heaven. Genesis 19:24"

Wanasayansi wanasema
"Yet until definite proof is presented, we must ask ourselves if the destruction of Sodom and Gomorrah could have been the result of ‘God’s’ actions?"
Which is which here
 
mimi nazani huyu mama alikuwa natabia ya kuchepka...nahuko kwenye michepuko alikuwa fundi wa kugeuka nyuma...ukirelate story kilichomkasilisha sir God nitabia za kugezana..so hilo nifumbo tu
Najaribu kufikiria hasa kinachosababisha watu muwaze namna hii nakosa kabisa....

Biblia haina mtindo wa kutaja dhambi kwa mafumbo maana kuna maeneo mambo haya yameandikwa kwa uwazi bila kificho kabisa,ni kwanini mnadhani hapa pamefichwa?

Sijui ni kwanini mnafikia kuleta nadharia kwenye vitu visivyohitaji nadharia....
 
Ukweli kibiblia miji hii ilikuwa pwani pembezoni mwa bahari sodoma ikiwa juu kidogo na chini yake kukawa na Gomorrah kama Tanga na Dar zilivyo.
Ukweli hadi sasa miji yote iliyo mwambao wa ziwa, bahari ama hata mito mikubwa ambapo uvuvi Mkubwa upo haina mpinzani ktk masuala ya starehe.
Uovu mwingi upo huko, leo maovu yanayofanyika mwambao wa ziwa tanganyika yote anzia Lubumbashi hadi kigoma ni hatari sana ukilinganisha na interior areas.
Nahisi sehemu za mwambao zina laana ya mapenzi kubwa ambayo ni adopted sodoma na gommorah.
Huwezi linganisha Tanga na dodoma kwa starehe wala lindi na Iringa wala dar na mbeya. Hatariii tupu.
 
hizi si picha halisi bali ni michoro ama picha za kuchora kwa muktadha wa habari yenyewe
Kali kuliko zote ni michoro ya picha Lutu akiwa na binti zake baada ya kutoa lock kutokana na mvinyo aliopewa na binti zake....muone alivyo high with romantic gestures
Mazingira hufanya jambo kuwa halali au haramu....

Ibrahimu alimuoa dada yake,wengi hawajui kuwa Sara alikuwa amechangia baba na Ibrahimu kitu kilichomfanya awe dada yake na kwa leo ingekuwa ni jambo la ajabu kuliko yote kumuoa dada yako wa namna hii....

Lakini lisilojulikana kwa wengi ni kwamba kulikuwa na sababu za msingi kabisa Ibrahimu kumuoa dada yake wakati ule...

Wapo wengi tu waliowaoa ndugu zao vile vile na haikuwa tatizo.Yakobo aliwaoa ndugu lakini leo haikubaliki....

Mazingira...."Circumstances"....
 
Wanadai Ndio Iraq Na Iran
Noup....

Hayo maeneo inayosemekena ndio sodom na gomorrah..yako deserted....hakuna uhai...hakuna kinachoota wala ishi.
Tizama hizo video.

Naendelea kubukua google.
 
Na bible haijataja ni madhambi gani yalikua huko...

Wala haijasema walikuwa wanazini...

Wala haijasema walikuwa homosexual...hayo ni maneno yetu tu...
 
Kasie,
Safi sana Kasie lazima tuwe kama Waberoya walichunguza maandiko wakaupata ukweli. UKISOMA NENO UKALIISHI NENO UKALITENDA NENO HUTAKUWA WA KAWAIDA TENA!!.
 
Na bible haijataja ni madhambi gani yalikua huko...

Wala haijasema walikuwa wanazini...

Wala haijasema walikuwa homosexual...hayo ni maneno yetu tu...
data kuwa makini na vyanzo vyako, vinaweza kupotosha ukweli
tumblr_opcyvtGPa51s91yx0o1_500.jpg
 
Noup....

Hayo maeneo inayosemekena ndio sodom na gomorrah..yako deserted....hakuna uhai...hakuna kinachoota wala ishi.
Tizama hizo video.

Naendelea kubukua google.
Ni kweli kwakuwa yaliteketezwa kwa moto
 
Back
Top Bottom