Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

Tantee Kasie kama ulikuwa mawazoni mwangu changamoto itakuwa kukutana maana weekend watu huwa busy mno

Tukipatikana wenye nia, Mara moja baada ya wiki tutapata muda tuu. Unajua siku zote muda huwa hautoshi kama ilivyo hela. Ndo maana wazungu walisema time is money, wakimaanisha pesa au fedha ina sifa sawa muda. Kwa ufupi tuu, vyote mudaa na fedha huisha haraka kama hautokuwa muangalifu kwenye matumizi nayo. Ukitumia vibaya lazima ujilaumu baadae, ukitumia vizuri hukuzalishia na kukuingizia faida yaani ukiutumia muda vizuri utaingiza pesa na ukiitumia pesa vizuri pia utaingiza pesa zaidi.

Hivyo ni kuamua kufanya maamuzi ya kwamba tarehe 2 tunakutana kwa ajili ya kujadili kitabu.

Ni kutia juhudi tuu.
 
Mshana Jr,
ndugu, kugeuka nyuma haina maana yoyote mbaya lile suala lilikuwa hivi: ile familia ilikuwa inakimbia mji kama walivyoagizwa na Bwana, kitendo cha kuangalia nyuma ni ishara ya kutamani mali zilizo katika mji ule, yaani unavitamani vile vitu hivyo inakuwa kama moyo wake haupo ktk maagizo ya Bwana bali upo ktk mali walizoziacha ktk mji ule maana hawakubeba mali.......yeyote aliyeshika jembe yu tayari kwa kulima huku anaangalia nyuma hafai ktk ufalme wa Mungu.
 
Mshana Jr,
Nina maswali matatu mshana Jnr.
1: Hapo walipohamia hawakukuta watu wengine?
2::Kwa miujiza ya mungu, kwa nini lutu asipelekewe mke mwingine?
3::Kujiongeza ni halali, inakubalika. Katika muktadha UPI?
 
ndugu, kugeuka nyuma haina maana yoyote mbaya lile suala lilikuwa hivi: ile familia ilikuwa inakimbia mji kama walivyoagizwa na Bwana, kitendo cha kuangalia nyuma ni ishara ya kutamani mali zilizo katika mji ule, yaani unavitamani vile vitu hivyo inakuwa kama moyo wake haupo ktk maagizo ya Bwana bali upo ktk mali walizoziacha ktk mji ule maana hawakubeba mali.......yeyote aliyeshika jembe yu tayari kwa kulima huku anaangalia nyuma hafai ktk ufalme wa Mungu.
Mwanzoni umesema kile kitendo hakikuwa na maana yoyote mbaya lakini umekuja kufafanua kuhusu tamaa...tamaa ni mojawapo ya dhambi mbaya kabisa...hebu rudia kusoma ulichoandika
 
Kwa imani ya wenzetu upande wa pili Wanaamini mkewe Lutu alipondwa na jiwe wakati Sodoma inateketea. Na jina la Lutu ni Lut Ibn Haran
220px-Lot_BnF_Persan_54_fol._40.jpg
 
Samahani mimi nadhan ni Luti sio lutu ,alaf mungu hakutaka mtu aone anacho kitenda kwa kizazi hicho ila pia aliganda kwa kuw ameenda kinyume na amri ya mungu .Ni uelewa wangu
 
Samahani mimi nadhan ni Luti sio lutu ,alaf mungu hakutaka mtu aone anacho kitenda kwa kizazi hicho ila pia aliganda kwa kuw ameenda kinyume na amri ya mungu .Ni uelewa wangu
Ni Lutu kwa kiswahili, Lot kwa kiingereza na kiarabu ni Lut Ibn Haran
 
Nimeendelea kuchakura zaidi, kule Israel kuna mlima unaitwa Mount Sodom (sio Gomorrah) mlima huo ndio unasemekana ndio lile jiwe la chumvi (mke wa Lutu)
220px-%27Lot%27s_Wife%27_sea-stack%2C_Marsden_Bay_-_geograph.org.uk_-_1637633.jpg
lakini vilevile nimefanikiwa kupata kile nilichokuwa nikikitafuta cc: Eiyer! Picha tofauti na zile za kwanza
95d305de77a46a562c11ccbfa40c6a25.jpg
c8999bd04e7da4965639e5a2aeb577de.jpg
hizi si picha halisi bali ni michoro ama picha za kuchora kwa muktadha wa habari yenyewe
Kali kuliko zote ni michoro ya picha Lutu akiwa na binti zake baada ya kutoa lock kutokana na mvinyo aliopewa na binti zake....muone alivyo high with romantic gestures
ce9539fc20ee92df7262e83ce2715426.jpg
2626718b22af9b0c13a04874b0bbe938.jpg
baba na mabinti zake [emoji85] [emoji87] [emoji85] [emoji87] [emoji12] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji781] [emoji779] [emoji781]
 
sawa kama ni Lutu ina mm ntabak kuelewa ni Nabii Lut uwezi kumuita mtu For Night eti kwasabab anaitwa Chausiku,ila asante kwa marekebisho

sawa kama ni Lutu ina mm ntabak kuelewa ni Nabii Lut uwezi kumuita mtu For Night eti kwasabab anaitwa Chausiku,ila asante kwa marekebisho
Kuna kitu naona kinakuchanganya ama hukielewi vema kuna kutafsiri na kuna kutohoa
Lot-Lutu ni kutohoa
Night- Chausiku ni kutafsiri
 
Kuna kitu naona kinakuchanganya ama hukielewi vema kuna kutafsiri na kuna kutohoa
Lot-Lutu ni kutohoa
Night- Chausiku ni kutafsiri

aha asante kwa kunifundisha ila kutohoa inakuwa inabadilika herufi ila inatamkwa vile vile au? kama vile Lut na Luth ama?anyway GN mkuu
 
aha asante kwa kunifundisha ila kutohoa inakuwa inabadilika herufi ila inatamkwa vile vile au? kama vile Lut na Luth ama?anyway GN mkuu
Lut na luth ni lugha mbili tofauti ama moja? Huwezi kutohoa neno kwa lugha ileile
 
Back
Top Bottom