Umesali? Amka upate daku.mkuu itakuwa ni usingizi unanisumbua
Daku nimeshakula ndugu ndio lanilevya na ubwabwa wa mwana mtamuUmesali? Amka upate daku.
[emoji319] [emoji99] [emoji106]Daku nimeshakula ndugu ndio lanilevya na ubwabwa wa mwana mtamu
Huku ndiko aliko kiuhalisia ni mawazo yangu tuMkuu nakuaminia kwa ule upande wa giza...ila huku nuruni naona umekwama lau hata kaufafanuzi kiduchu?
Sodoma na Gomorrah ni miji iliyokuja kuangamizwa kwa sababu wakazi wake walifanya kufuru ya starehe mpaka kumsahau Mungu kabisa....na kibaya zaidi ni ile dhambi ya kutenda kinyume na maumbile
Ndani ya miji ile akawepo mchamungu mmoja naye alikuwa Lutu...mweledi mnyenyekevu na msikivu sana.. Baba wa mke mmoja na mabinti wawili
Mungu alikasirika na kuamua kuiteketeza ile miji miwili.,lakini akaamua kumuokoa mtumishi wake Lutu na familia yake ila kwa sharti moja! Kwamba Lutu aondoke na familia yake kabla miji ile haijateketezwa lakini 'ATAKAYEGEUKA NYUMA' atageuka jiwe la chumvi
Kwanini kugeuka nyuma? Fumbo la Sodoma hilo! Mke wa Lutu aligeuka nyuma na akageuzwa kuwa jiwe la chumvi!je naye alikuwa mteja!?![]()
Lutu na mabinti zake hawakugeuka nyuma na wakaenda kuishi mlimani mpaka Lutu alipokuwa mzee kabisa!
Mabinti zake wakajiongeza wakaona baba anazeeka mama hayupo na sisi ni mabinti! Tusipofanya namna kizazi kitapotea
Makatengeneza mvinyo mkali wakampa mzee akanywa akalewa.....wakampa unyumba baba yao....wakashika ujauzito na kizazi kikaendelea(hakuna ubaya hapa!)
Kinachonitatiza kwanini Mungu alisema atakayegeuka nyuma atageuka kuwa jiwe la chumvi?
Leo ni jumatatu twendeni kazini..mambo mengine hayana majibu
Biblia imeandikwa kwa muhtasari sana pamoja na ukubwa wake ule. Kugeuka nyuma ni parable fumbo zito. Kulimaanisha mambo mengi sana. Mungu aliwatahadhalisha katu wasiukumbuke uovu wa sodoma bali waendelee na Safari. Inahitaji nguvu ya ziada kutii lile agizo ukiingatia uekezaji wa mashamba, mifugo, na mali nyingi walizokuwa nazo.KWA HILI SIKUUNGI MKONO MKUU,LUTH NA MKEWE WALIAMBIWA WASIGEUKE NYUMA ILI WASIWEZE KUSHUHUDIA NAMNA WAKAZI WA MIJI ILE WATAKAVYOTEKETEZA.MUNGU HAKUPENDA LUTH AWEZE KUSHUHUDIA UKALI WA HASIRA YA MUNGU.KAMA NI HISIA ZAKO KUWA MKE WA LUTH ALIGEUKA NYUMA KUWA ALIFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE NAHISI SI SAHIHI.
Liliisha
Liliisha
kati ya maswali ambayo huwa najiuliza ni hilo....tunaambiwa adam na eva walizaa watoto wawili..cain na abel...cain akamuua abel mana yake alibaki na wazazi ...biblia inasema cain akaenda nchi za mbali na kuoa huko na kuzaa watoto wake nawaume!!!! jamani hii ni confusion..Kwani ukoo wa Adamu ni damu ya nani mwingine zaidi yake?
Kuna uwezekano cain alikuja kuzaa huku Afrika na alikuwa mtu mweusi [emoji12]kati ya maswali ambayo huwa najiuliza ni hilo....tunaambiwa adam na eva walizaa watoto wawili..cain na abel...cain akamuua abel mana yake alibaki na wazazi ...biblia inasema cain akaenda nchi za mbali na kuoa huko na kuzaa watoto wake nawaume!!!! jamani hii ni confusion..