Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

Je hilo sanam lililogeuka chumvi lipo mpaka leo?na wapi?
Kama walilala na baba yao kwa hiyo kumbe hakuna kosa kuzaa na baba au kufanya mapenzi na baba
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji80] [emoji80]
 
Mungu hakutaka waone namna mji unavyoungua na kwa kufanya hivyo hizo kumbukumbu zingewasumbua sana na wakashauriwa waasiangalie na atakayeangalia tu itabidi asiwepo....

Na ndivyo ilivyokuwa....
Kwa akili yangu ningeunga tela kwa lutu vuta hata jezi hata kama kwenye pernalt erea
 
Kwa ninavyotafsiri mimi..."KUGEUKA NYUMA" ni kutamani kurudi ulikotoka....

Ikiwa MUNGU amekutoa mahali fulani na ukatamani kurudi(geuka nyuma)basi ni dhahili itakayokukuta ni adhabu...kwa mfano kwenye biblia,tunaona wana wa israel wanatoka misri,na baada ya safari ndefu ya kula mana jangwani..hatimae wanamlalamikia musa kuwa wamemisi nyama,vitunguu n.k n.k...ile ni nini?

Kule ni kugeuka nyuma,yaani kutamani matapishi uliyoyatapika.ni sawa na kumdharau aliyekusafisha na ukataka kujichafua tn.MUNGU anakutoa dhambini na baada ya muda ukatamani zile dhambi,huko ni kugeuka nyuma(au kutamani uliyoyaacha)...sina tafsiri ya moja kwa moja kuwa mke wa lutu alikuwa akifanya yale na kuyatamqni,lkn huwezi jua...asanteni
 
Mmmhhh hapa waliosoma divinity A level na O level waje na uchambuzi yakinifu.

Actually huwa nafikiriaga kuanzisha club ambayo memba wake watakuwa kila mmoja anasoma kitabu flani halafu mnakutana Mara moja kwa wiki mbili mna discuss chapter moja kisha mnasonga mbele. Mkimaliza kitabu kimoja mnaenda kingine....
Thanks mshana jr beibe kunifikirisha food for thought...

Nafatilia huu mjadala hadi mwisho.
 
Mmmhhh hapa waliosoma divinity A level na O level wakupe na uchaguzi yakinifu.

Tantee Kasie kama ulikuwa mawazoni mwangu changamoto itakuwa kukutana maana weekend watu huwa busy mno
 
KWA HILI SIKUUNGI MKONO MKUU,LUTH NA MKEWE WALIAMBIWA WASIGEUKE NYUMA ILI WASIWEZE KUSHUHUDIA NAMNA WAKAZI WA MIJI ILE WATAKAVYOTEKETEZA.MUNGU HAKUPENDA LUTH AWEZE KUSHUHUDIA UKALI WA HASIRA YA MUNGU.KAMA NI HISIA ZAKO KUWA MKE WA LUTH ALIGEUKA NYUMA KUWA ALIFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE NAHISI SI SAHIHI.
Ulikuwepo??????
 
Mmmh.... Watu wa Sodoma walikuwa kiboko, walitaka kula JAZA UJAZWE hata malaika??!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmmhhh hapa waliosoma divinity A level na O level wakupe na uchaguzi yakinifu.

Actually huwa nafikiriaga kuanzisha club ambayo memba wake watakuwa kila mmoja anasoma kitabu flani halafu mnakutana Mara moja kwa wiki mbili mna discuss chapter moja kisha mnasonga mbele. Mkimaliza kitabu kimoja mnaenda kingine....
Thanks mshana jr beibe kunifikirisha food for thought...

Nafatilia huu mjadala hadi mwisho.
Wazo zuri sana.
 
Back
Top Bottom