Baada ya mechi zote 2 za Simba na Yanga , conclusion yangu ni kwamba Simba ameonesha uhai zaidi licha ya matokeo yake.

So Simba akicheza compact kama alivyojana Jana anaweza shinda mechi ya Al Ahly.

Ila Kwa upande wa Yanga ,safari Yao imeishia hapa ,kule wataenda kupunguza idadi ya magoli tuu.
Look at this😳😳😳
 
Usiwe punguani wewe.
Kwani kumiliki mpira ndio magoli?
Mbona kombe la dunia Portugal ilimiliki mpira zaidi ya asilimia 70 na Morocco ndio akashinda na kumtoa Portugal??
Mbona robo fainali world cup Spain aliongoza kwa posession na akatolewa na Morocco?
UNAJUA KITU KINAITWA CONVENTIONAL FOOTBALL??
YANGA KAZIDIWA POSESSION ILA KAONGOZA KWA SHOTS ON TARGET KAMA ANGEZITUMIA ANGEKUA MSHINDI.

HUJUI MPIRA
Sio kama hawajui, wanajua sana sema wanatafuta sehemu ya kupunguzia maumivu yao ukizingatia wiki mbili nzima walitutambia kwa hawa Mamelod hadi kununua jezi zao. Ila picha ikaanza jana chali wakapigwa halafu huku walitegemea wafarijiwe na Mamelod wamechemka pamoja na kutokuwepo kwa Yao, Pacome na Aucho. Yaani imewauma sana hapo wanajiongelesha ili kupunguza maumivu yao
 
MUNGU ANAJIBU MAOMBI JAMAN YAAN SIO KWA MOTO ULE WA MAMELODYNAHABAR ZILIZOTUFIKIA WANA MAJERUHI WAWILI MOTO WATACHEXA MARUDIANO TUJIPANGE NA AZIIZ WETU WA SINDANO
Muda huo Pacome atakua kasharudi katika hali yake,na Aucho atakuwepo pia.
 
Mie nashangaa kuna mipunguani inaongea eti ooh mamelody kaongoza posession.
Mbona yanga kaongoza SHOTS ON TARGET??
Yanga leo kacheza conventional football yani kujilinda sana ila mashambulizi ya kushtukiza.
Ndio uone tofauti Mamelody licha ya kumiliki sana mpira ila golini kwa Yanga kafika mara chache.
Hii ni knock out stage, kila mtu anacheza kwa tahadhari, mbinu na malengo ndo muhimu.
 
Uduguu maneno ya nn lete takwimu hapa, au unadhani naangalia mpira kwa kudowea? Naangalia haswaa, leo had mzinze alikua beki afu useme mmecheza mpira.
hizo chance za counter attacks bado mkabwanyaaa, woiiiiiih

Hata formation ya yanga leo uwanjani unaijua ilikua ipii? Uwiiiiih
Nilitaka nikujibu nikaona changaule kawahi kuniwekea takwimu hebu shuka hapo chini 👇

Ila udugu unajikaza basi tyuuu ila vyura wamekuchanganya vibaya leo 🤣🤣🤣
Anyway, huko kolokoloni mmepanga kumtimua nani kabla hamjaenda kupigwa goli zingine cairo?? 😂😂😂
 
Yanga imecheza pira lakikatili mno, masandawana nakuambia wanaenda kujiuliza mara saba saba kama watatoboa nusu maana ishaanza kuiingia mapichapicha. Yanga hajukaa na mpira sana lakini tumeongoza attemps on goals pamoja na shots on target kitu ambacho ndio muhimu kuliko kukaa na mpira, yaani mpira ungekuwa dakika 120 masandawana tungewavalisha dera leo...makolo hii yanga inaennda nusu fainali penda msipende
 
Haya matokeo watu hawatalala walijua kwakuwa wao wamefungwa na huyo kibonde basiiiiiiii na yanga hii ya moto itafungwa.... Mara ooooh Mamelod wanacheza kama ps nyenyeeeeeee mmeyabana mbupu zenu kama naniiiii 😋😅😅. Jana na Leo na kesho mpk mwezi huu uishe ntanenepa maana ni mwezi wa mateso kwa Mwakarobo 😅
 
Mie nashangaa kuna mipunguani inaongea eti ooh mamelody kaongoza posession.
Mbona yanga kaongoza SHOTS ON TARGET??
Yanga leo kacheza conventional football yani kujilinda sana ila mashambulizi ya kushtukiza.
Ndio uone tofauti Mamelody licha ya kumiliki sana mpira ila golini kwa Yanga kafika mara chache.
Benchi la ufundi la Yanga lilifanya kazi nzuri ya kumsoma mpinzani wake na kukubali kumwacha Mamelod acheze mpira yeye atafute matokeo tu. Bahati mbaya hatuna mastraika wa maana ila hii game Yanga alikuwa anaondoka na magoli mawili
 
Sio kama hawajui, wanajua sana sema wanatafuta sehemu ya kupunguzia maumivu yao ukizingatia wiki mbili nzima walitutambia kwa hawa Mamelod hadi kununua jezi zao. Ila picha ikaanza jana chali wakapigwa halafu huku walitegemea wafarijiwe na Mamelod wamechemka pamoja na kutokuwepo kwa Yao, Pacome na Aucho. Yaani imewauma sana hapo wanajiongelesha ili kupunguza maumivu yao
Unawazungumzia yao, pacome na aucho, kwan hujui na wao wana wachezaji majeruhi? Akiwemo kapteni wao Zwane? Na hiyo siku atakuwepo pia.
 
Back
Top Bottom