Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,653
- 16,005
Timu ipo .mbona leo moroko katoa draw na Congo. Kwenye mpira kawaida sana mkuuHakuna timu, tusipeane faraja, hatuna timu ya kushindana...
Timu ipo .mbona leo moroko katoa draw na Congo. Kwenye mpira kawaida sana mkuuHakuna timu, tusipeane faraja, hatuna timu ya kushindana...
YAANI HII SIKU NITAKIMBIA NIRUDI BURUNDI SITAKI HII AIBU INIKUTIE HAPAHaina shida mechi na Congo tunatoboa.hakuna kukata tamaa
Najua umeitaja Ihefu kimkakati.Sijui why huwa anazembea ifikie mahali timu ivunjwe wacheze wachezaji wa klabu za ihefu...mtibwa...na wengineo hawa Simba na Yanga na wa huko nje wasicheze...
Tunashinda nakuhakikishia Congo tunawachapa .kikosi kipo vizuri sana.Kheeee!! Hamchoki?
HAKUNA TIMU YA KUSHINDANA NA CONGO KWA KIKOSI HICHI.Timu ipo .mbona leo moroko katoa draw na Congo. Kwenye mpira kawaida sana mkuu
Upo my braza.... 😂 😂 😂Najua umeitaja Ihefu kimkakati.
Muone! 😁😁😁
Kuna mpr wanaocheza team zngne hlf ss kuna Mpr tunaocheza sisi Tz.. Ww mkuu unaona ivo ni vitu sawa?Timu ipo .mbona leo moroko katoa draw na Congo. Kwenye mpira kawaida sana mkuu
Kwenye mpira wa miguu Tz sina uzalendo 😁Wewe hauna uzalendo?
Hawataamini mechi ya mwisho
Timu yote inapiga back pass umeona mzamiru tuu?Mzamiru ni mchezaji wa ovyo tangu mpira unaanza hadi unaisha anapiga back passes tu
Ng'ombe wa masikini azai na akizaa anazaa tasaYAANI WATU WAPO PUNGUFU NA HAKUNA MNAFANYA SI MFUNGUE LIVE BAND TU
😁🤣🤣🤣 wazalendo njoeni huku tupewe barafuMpange foleni hapa nianze kuwakanda makoo 😂😂😂
Nikimaliza niwaongoze toba. Maana najua mmetukana sana leo
Angalau tukalale bila kelele😍😍😍MGUNDA KITAMBI KIMESHUKA LEO
Tunashinda nakuhakikishia Congo tunawachapa .kikosi kipo vizuri sana.
Anazingua huyoTimu yote inapiga back pass umeona mzamiru tuu?
Bora tumeambulia point 1 na Goli 1 Wazambia wanadharau sana walisema wana uhakika wa wakupata point 3 kwa Taifa Stars