Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,475
- 867,200
Sasa hapa umetabiri nini? Ungekuwa wewe ni shabiki wa Yanga angalau ingemake sense.
Sasa hapa umetabiri nini? Ungekuwa wewe ni shabiki wa Yanga angalau ingemake sense.
Wapi professor NabiNilichokuwa nakitaka ndio hiki kimetokea leo.
Ishu haikuwa sio tu kumfunga Yanga
Bali ni kumfunga Yanga akiwa full compact plus na vile virutubisho vyake vya jezi nyeusi kuihusisha na bahati.
Mwaka jana niliposikia taarifa kuwa Mayele anataka kuuzwa mpaka Senzo kutishia kuondoka endapo atauzwa, nilikuwa mtu niliye tofautiana mtizamo na baadhi ya mashabiki wenzangu wa Simba.
Mimi sikutaka hilo litokee, hiyo yote ilikuwa kwa ajili ya siku kama ya leo.
Tungewafunga wakiwa wamepungukiwa na wale wachezaji wao nyota ningefurahi kama ushindi kumfunga mtani ila vibe lingekuwa too low.
Kwasababu kile kipindi tuwafunge bao 4-1 ni ukweli usiopingika kuwa hawakuwa na kikosi bora. That's why unaona hata wao utetezi wao ulikuwa "tulikuwa tuna kikosi kibovu"
Leo kila waliyetaka kumuona uwanjani, alikuwepo.
Kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji wote leo walikuwepo, hakukuwa na majeruhi, hakukuwa na wachezaji waliokosa mechi sababu ya kadi za njano.
Leo labda watafute lawama kwa kumkosa Feisali. (Kitu ambacho nitawaona vigeugeu kwasababu wao ndio waliosema no Feisali no problem)
Mwisho nasema mjifunze kuiheshimu Simba, muache ushamba wa kuamini rangi ya jezi kuwa ndio yenye bahati.
Mechi yenu inayofata aanzeni upya hesabu zenu, kuanzia ule ukiritimba wa kufurahia kila mechi kufunga goli hadi unbeaten
Mafanikio sio kumfunga Yanga mzee.Kumbe vifuani mwenu mmehifadhi maumivu makubwa na hamsemi?
Sikujuwa kama ulikuwa unaumia kiasi hiki.
Hii ni ushahidi tosha ya Watanzania walivyo huko mitaani watu wanaumia na mafanikio yako lakini hujui tu.
Hawajawahi kushinda mbele ya huyu kocha, kawapiga akiwa na APR, VIPERS na sasa akiwa na Simba Sc.Zile 2-0 za Vipers kw Mwananchi kumbe Robertnho Robertinho hatanii ndo kawaida yake ndo mana alikuwa anwataka sana
Nabi ni kocha mzuri akicheza na KageraWapi professor NabiView attachment 2590287
Hongereni 😅Mtasema yoteeee
We mkorofiDah leo Simba wanafuturu vyura.
Duh! Hii ya APR nilikuwa siijui kweli ni vbonde wakeHawajawahi kushinda mbele ya huyu kocha, kawapiga akiwa na APR, VIPERS na sasa akiwa na Simba Sc.
kama kila mtu ashinde mechi zake leo mbona mmeshindwa?? Safari ya kudondoka imefika, mechi ijayo mapoteza tena , itakayofuata sare na hapo ndoto za ubingwa bye bye!!Mtajijua wenyewe kila mtu ashinde mechi zake.
Nilichokuwa nakitaka ndio hiki kimetokea leo.
Ishu haikuwa sio tu kumfunga Yanga
Bali ni kumfunga Yanga akiwa full compact plus na vile virutubisho vyake vya jezi nyeusi kuihusisha na bahati.
Mwaka jana niliposikia taarifa kuwa Mayele anataka kuuzwa mpaka Senzo kutishia kuondoka endapo atauzwa, nilikuwa mtu niliye tofautiana mtizamo na baadhi ya mashabiki wenzangu wa Simba.
Mimi sikutaka hilo litokee, hiyo yote ilikuwa kwa ajili ya siku kama ya leo.
Tungewafunga wakiwa wamepungukiwa na wale wachezaji wao nyota ningefurahi kama ushindi kumfunga mtani ila vibe lingekuwa too low.
Kwasababu kile kipindi tuwafunge bao 4-1 ni ukweli usiopingika kuwa hawakuwa na kikosi bora. That's why unaona hata wao utetezi wao ulikuwa "tulikuwa tuna kikosi kibovu"
Leo kila waliyetaka kumuona uwanjani, alikuwepo.
Kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji wote leo walikuwepo, hakukuwa na majeruhi, hakukuwa na wachezaji waliokosa mechi sababu ya kadi za njano.
Leo labda watafute lawama kwa kumkosa Feisali. (Kitu ambacho nitawaona vigeugeu kwasababu wao ndio waliosema no Feisali no problem)
Mwisho nasema mjifunze kuiheshimu Simba, muache ushamba wa kuamini rangi ya jezi kuwa ndio yenye bahati.
Mechi yenu inayofata aanzeni upya hesabu zenu, kuanzia ule ukiritimba wa kufurahia kila mechi kufunga goli hadi unbeaten
Kuna jamaa mmoja anajiita Chizi Maarifa hata ukimtafuta kwa tochi huwezi kumpata humu kwa sasa!! Hata nyuzi zake mwenyewe ameshazikimbia!!Kuna ID humu hazionekani kama matiti ya nyoka.
Huyu atarogwa aumie mazoeziniNashauri huyu kipa number tatu wa Simba awe na number moja ni mzuri kuliko Aishi manula,manula angedaka Leo Simba ingekuwa ishachakazwa
Hujatoka pale ulipokaAYanga 3-1simba Niko palee
YakojeVice versa is true
Japo kwa mbaali naiona Ngoma Draw
PoleniBasi leo tunaokaa Mjini hatutalala Hakya Mungu
Kesho ngoja ukutane na kisirani mmoja wa Yanga huko classUtopolo Leo mtasema yoteeee ila mmefungwaaa[emoji16][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji57][emoji57][emoji57]
AsantePoleni