Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,606
- 870,259
Shikamoo mkuu
Shikamoo mkuu
😂😂😂😂😂Bundle lenyewe tu anatumia la niwezeshe ndio atowe wapi jeuri ya kurusha 75 saa hizi?
Sasa hapa umetabiri nini? Ungekuwa wewe ni shabiki wa Yanga angalau ingemake sense.![]()
Judgement day! The Revenge moment is due!
Mwanamieleka Michael Pereila alipompiga kwa TKO Mwanamieleka bingwa wa muda wote Israel Andesanya shobo na majigambo vilikuwa vingi sana! Andesanya alivumilia yote akakaa kimya akajipanga kwa rematch... Muda ulipofika ulikuwa ni muda wa hukumu! Muda wa kulipa kisasi, muda wa kukata ngebe na...www.jamiiforums.com
Aliyekufunga hakuwepo kwenye kampeni za uchaguzi na wala hukumtegemea.Linaisha vipi? Labda muache hizo tabia badala ya kusajili mchezaji unamleta kwenye uchaguzi hilo jina linaisha vipi?
Pesa za uwanja zilizokuwa zinachangwa kwa simu ziko wapi?
Wahenga wa kizungu husema, raha ipo kwenye mchakato au kikwao in the process. Au nasema uongo Bantu Lady?Hahahaa! Kabisa yaani Mtani.
Japo wenye kulielewa hili tunahesabika. 🤣🤣🤣🤣🤣
HakubahatishaZile 2-0 za Vipers kw Mwananchi kumbe Robertnho Robertinho hatanii ndo kawaida yake ndo mana alikuwa anwataka sana
Mtasema yoteeee[emoji28][emoji28][emoji28] Kipofu kaona mwezi leo
Kumbe vifuani mwenu mmehifadhi maumivu makubwa na hamsemi?Nilichokuwa nakitaka ndio hiki kimetokea leo.
Ishu haikuwa sio tu kumfunga Yanga
Bali ni kumfunga Yanga akiwa full compact plus na vile virutubisho vyake vya jezi nyeusi kuihusisha na bahati.
Mwaka jana niliposikia taarifa kuwa Mayele anataka kuuzwa mpaka Senzo kutishia kuondoka endapo atauzwa, nilikuwa mtu niliye tofautiana mtizamo na baadhi ya mashabiki wenzangu wa Simba.
Mimi sikutaka hilo litokee, hiyo yote ilikuwa kwa ajili ya siku kama ya leo.
Tungewafunga wakiwa wamepungukiwa na wale wachezaji wao nyota ningefurahi kama ushindi kumfunga mtani ila vibe lingekuwa too low.
Kwasababu kile kipindi tuwafunge bao 4-1 ni ukweli usiopingika kuwa hawakuwa na kikosi bora. That's why unaona hata wao utetezi wao ulikuwa "tulikuwa tuna kikosi kibovu"
Leo kila waliyetaka kumuona uwanjani, alikuwepo.
Kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji wote leo walikuwepo, hakukuwa na majeruhi, hakukuwa na wachezaji waliokosa mechi sababu ya kadi za njano.
Leo labda watafute lawama kwa kumkosa Feisali. (Kitu ambacho nitawaona vigeugeu kwasababu wao ndio waliosema no Feisali no problem)
Mwisho nasema mjifunze kuiheshimu Simba, muache ushamba wa kuamini rangi ya jezi kuwa ndio yenye bahati.
Mechi yenu inayofata aanzeni upya hesabu zenu, kuanzia ule ukiritimba wa kufurahia kila mechi kufunga goli hadi unbeaten
Umetukosea wana Chelsea, umetukosea sana