tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,769
- 31,249
Na kuna faulo za uongo yanga alipewa sana na mwamuzi.Hazikuwa faulo kabisaaaYanga wamecheza vizuri hasa kulingana na Hali ya uwanja, Magoli waliyofungwa ni Magoli ya nje ya uwanja, goli la kwanza haikua Kona na mshika kibendera alikua mita mmoja kutoka ulipo mpira.
Goli la pili Yanga wapigiana pass mbovu na Kupoteza mpira bila Sababu.
Zaidi ya yote hawakucheza vibaya ila matokeo Mabaya.