Safe trip.Mtatuwakilisha mama kwa dakika zilizosalia...
Haahaa 😂😂🤣🤣Mtatuwakilisha mama kwa dakika zilizosalia...
Wamekosa hili hawapati tena.Almanusura yanga wapate goli[emoji16][emoji16]
Mimi wa Mapinga, refa atufikirie tunaoenda mbali
Apostle kuna muujiza hapa, nini kimetokea? Yanga wamelowaMuujiza utatokea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji173][emoji173][emoji173]Daaaaah [emoji169][emoji172]
Nini kimetokea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aposto kuna muujiza huku [emoji23]
kwani humjui Maxence!?Halafu nyinyi JF kwanini hiyo 😍 nzuri mmeweka maandishi mekundu? 😂😂😂😂😂😂😂😂
Never!Nashauri huyu kipa number tatu wa Simba awe na number moja ni mzuri kuliko Aishi manula,manula angedaka Leo Simba ingekuwa ishachakazwa
Tunaendelea kusubiri mpaka Bwana atakapo rudiAposto kuna muujiza huku 😂