financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,192
- 43,533
Dah Yangaaa[emoji24]
Ndio refa yangaRefa anawatafutia goli yanga si bure
Duuh jamani, mpira uishe sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dk 87
2-0
Wenye wivu wajinyonge by Saida kaloriHalafu nyinyi JF kwanini hiyo 😍 nzuri mmeweka maandishi mekundu? 😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂Uwii apone fasta aje ashuhudie, mimi kukusemelea siwezi. Kwanza njia ya kufika alipo siijui 😂😂
Tunazika au tunachoma?
dakika ya ngapi sasaTunge hesabu la tatu!
Wanaenda wapi tena watulie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wananchi wanaanza kuondoka taratibu hapa uwanjani
Wananchi wanaanza kuondoka taratibu hapa uwanjani
Tunatupa dampo la cityTunazika au tunachoma?