Yaan Yanga Lia Lia Leo kazi wanayo.....Hilo liko wazi kabisa mbona
Niache kwanza sipo sawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji173][emoji173][emoji173]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unasema Yanga kafungwa Kikolo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Apostle kuna muujiza hapa, nini kimetokea? Yanga wamelowa
Sawa rafiki[emoji848][emoji25][emoji3]Niache kwanza sipo sawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Big NO !Nashauri huyu kipa number tatu wa Simba awe na number moja ni mzuri kuliko Aishi manula,manula angedaka Leo Simba ingekuwa ishachakazwa
Yeye ni Kolo?kwani humjui Maxence!?
Manula kabaki jina hakuti viwango vya huyu angedaka Leo tungeshafungwa mengiBig NO !
Manula hakuna wa kumfananisha naye Ligi hii 2023