Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,535
- 61,979
- Thread starter
- #1,301
77' Simba 2-0 Yanga
Wa TMK Sudani bado tupo 😂😂Sisi wa Kibaha kwa Mfipa, huu ndio muda wa kuondoka uwanjani...
Tucheke kwa kujificha..FT Simba 2: Yanga 3
Trust me
Muujiza utatokea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]FT Simba 2: Yanga 3
Trust me
kuna muda wa futari77' Simba 2-0 Yanga
Nifuraha sanaaaa 😊😊😊Mshana Jr tunachojua mpaka sasa ule utabiri wako wa Simba 3-0 Yanga ushatimia.
goli mbili zimekataliwa kisa tu marefa wameambiwa wapite ofisi ya posta baada ya mechi.
Wa TMK Sudani bado tupo 😂😂
Haahaa😂😂😂😂😊😊Manara kashangilia magoli yote akiwa chooni na sigara yake mdomoni
Aposto kuna muujiza huku 😂FT Simba 2: Yanga 3
Trust me