Yaani hata na mie najiuliza imekuwaje?Ala
Simba walifurahi sana kusikia Yanga katoka sare na TRA wakijua amepunguza pengo; imekuwaje tena?
Hapo wamepumzika week nzima wako hoi namna ile ,mdomo sasa 😃NImeiona Swahiba.
Ni haki yao ile mana walikuwa na vimdomo sana baada ya sisi kutoka sare. 🤣
Hahahaaa. Eti jamani 😀 Swahiba hao hata wangepewa mwezi ni kazi bure tu.Hapo wamepumzika week nzima wako hoi namna ile ,mdomo sasa 😃
Na wanajua kuchonga hatari.Hapo wamepumzika week nzima wako hoi namna ile ,mdomo sasa 😃
Hao viumbe wanaamini soka la nje ya uwanja vibaya mnoHahahaaa. Eti jamani 😀 Swahiba hao hata wangepewa mwezi ni kazi bure tu.
Sababu mechi zao nyingi wanategemea ukalumanzila. 😀
Pumbavu wewe.Hahahaaa. Eti jamani 😀 Swahiba hao hata wangepewa mwezi ni kazi bure tu.
Sababu mechi zao nyingi wanategemea ukalumanzila. 😀
Hatari sana Swahiba.Hao viumbe wanaamini soka la nje ya uwanja vibaya mno
Heee!Pumbavu wewe.
Waziri wa maji Mheshimiwa Aweso Aweso alisema kule Jimboni kwake , rais wenu wa mchongo Hersi saidi kitu gan sjui hua anaonekana mara kwa mara kwa waganga zikikaribia mechi za derby ama ligi ikiwa inaendelea ...yule mdaka mishale wenu kinachomsaidia ni Ile hirizi jeusi alilofunga kiunoni . Huo sio ukalumanzila...🚮🚮🚮🚮🚮
Pamba Jiji oye..ccm oyee..mtibwa oye..miwa oyeHeee!