FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Match Day.
Updates...
View attachment 2870765
View attachment 2870242

Mlandege FC ambao ni mabingwa watetezi, watamenyana na Simba Leo Januari 13, 2024 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex mjini Zanzibar, ambapo mchezo wa fainali utaanza kutimua vumbi saa 2:15Usiku.

Fainali iliyopita;
Mlandege ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Singida Fountain Gate FC.

Ikumbukwe Mlandege walipewa Ofa ya Pikipiki kwa kila Mchezaji. Sijui this time wapewa nini, endapo watashinda.

Rekodi inaonyesha michuano hiyo inatawaliwa zaidi na timu za Tanzania Bara ikiwamo Azam FC iliyotwaa taji hilo mara tano,
Simba SC (mara tatu) huku Yanga na Mtibwa Sugar FC mara mbili kila moja.

Timu za Zanzibar ambazo ni Jamhuri ya Pemba, Polisi, KMKM, Mafunzo, Malindi na Miembeni zilitwaa ubingwa huo mara moja kila moja. Pia, Mamlaka ya Halmashauri ya Jiji la Kampala ya Uganda (KCCA) na Mamlaka ya Mapato ya Uganda (URA) zilishinda taji hilo mara moja kila moja.

Tukutane Saa 2:15Usiku kwa updates zaidi ya Mechi na Vikosi vitakavyoanza.

KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA.
View attachment 2870772
All the Best Mnyama.
#nguvumoja#
Kikosi mnakionaje wakuu?
 
IMG-20240113-WA0100.jpg
 
Back
Top Bottom