🙆
kuna mbunge aliwahi kuomba bungeni chama apewe uraia tena kipindi bado hajaanza kuitwa mzee, ilikuwa bunge likijadili kwa nini taifa star kila siku haifuzu.Atakatiwa kipande kule bariadi na maswa
Nikisema Simba wana team, wananchi wenzangu wananipopoa, bahati mbaya nimekosa hii game niko safarini ila najua tu mnyama mwenye hasira ameendelea kurarua viumbe huko.Haswaa! Team ipo bhana
Simba team tunayo na tunatamba nayoo.Nikisema Simba wana team, wananchi wenzangu wananipopoa, bahati mbaya nimekosa hii game niko safarini ila najua tu mnyama mwenye hasira ameendelea kurarua viumbe huko.
Na tusipobadilika, safari ijayo Simba wanalipiza machungu yao yote.