Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,365
- 48,165
Mambo kama haya inabidi yatujenge zaidi.Sometimes match inatakiwa kuwa sare, Refa ananyima.
Km ile ya ngao ya jamii, Refa alitunyima penalty ya wazi
Mambo kama haya inabidi yatujenge zaidi.Sometimes match inatakiwa kuwa sare, Refa ananyima.
Km ile ya ngao ya jamii, Refa alitunyima penalty ya wazi
Mabibo sokoni hiyo🤣Kuna mwehu mmoja shabiki wa Azam alihojiwa asubuhi azam tv kasema kua ameweka bondi nyumba yake
Yeye na dem wakeCombination ya nani na nani ina ufanisi?
Hii ni mashine ya kijerumani hatari tupu!Libase mtu
Ibenge ni bonge la kocha. Wachszaji ndio walimdissapoint Himid Mao anapiga buti badala ya kucheza boliAzam watimue kocha
Mtalikuta tarehe 10! Lilishamgonga kocha wenu!
Na hatuwaachii, tutawakabia hukohuko juu!Yanga huwa wanashinda kwa kutukabia juu na kwa sababu huwa tunafanya makosa wanatufunga, ikitokea tu kocha akategua huo mtego tutawafunga.
Yatujenge vipi? Refa anatuumiza wazi wazi? Em kuwa serious?Mambo kama haya inabidi yatujenge zaidi.
Kabisa. Tena siyo chini ya baos 2Azam wakitulia wanashinda
HAITATOKEA. NAKUAPIA. CHINI YA MAMA YANGA TUPO VIZURI SANANikisema Simba wana team, wananchi wenzangu wananipopoa, bahati mbaya nimekosa hii game niko safarini ila najua tu mnyama mwenye hasira ameendelea kurarua viumbe huko.
Na tusipobadilika, safari ijayo Simba wanalipiza machungu yao yote.
Mkuu naomba urekebishe hicho kiapo, umeenda mbali sana. Kuna jamaa hua anasema kuna vitu vitatu haviaminiki na vinawezakukuaziri mbele ya watu wakati wowote.HAITATOKEA. NAKUAPIA. CHINI YA MAMA YANGA TUPO VIZURI SANA
Huwezi rudi nyuma ukafuta kutokuumizwa, option iliyobaki ni kuimarika zaidi ya ulivyokuwa wakati unaumizwa.Yatujenge vipi? Refa anatuumiza wazi wazi? Em kuwa serious?
Leo hii awe ameshapita JNIA terminal 3Ibenye alisema akifungwa na simba anaacha kazi haya sasa hahahaha
Basi sawaHuwezi rudi nyuma ukafuta kutokuumizwa, option iliyobaki ni kuimarika zaidi ya ulivyokuwa wakati unaumizwa.
Yule refa na wasaidizi wake wote ni wa kufungiwa. Huyu jamaa kacheza rafu hatarishi zaidi ya nne kipindi cha kwanza lakini hakupewa kadi hata moja. Kama refa na wasaidizi wake hawakuziona rafu zote nne basi huenda wana matatizo ya macho au uwezo wao wa kutafsiri sheria utakuwa na walakini. Kadi kaja pewa kipindi cha pili baada ya kucheza rafu nyingine. Siku akija kumvunja mchezaji mwenzie uwanajani ndio utasikia kila mtu anampigia kelele wakati huu upuuzi anafanya kila mechi na watu wapo kimya kama vile hajafanya kosa. Na hapo utakuja kumuona huyo huyo Mao naye anaenda hospitali kutoa pole kwa aliyemvunja kama vile itakuwa ni bahati mbaya wakati ndio michezo yake ya kila siku ya kudhamiria kuwaumiza wenzake.Ibenge ni bonge la kocha. Wachszaji ndio walimdissapoint Himid Mao anapiga buti badala ya kucheza boli
Mkuu naomba urekebishe hicho kiapo, umeenda mbali sana. Kuna jamaa hua anasema kuna vitu vitatu haviaminiki na vinawezakukuaziri mbele ya watu wakati wowote.
1. Mpira (matokeo yanaweza kukushangaza)
2. Siasa (Mabadiliko yasiyotarajia ni jambo la kawaida)
3. Muhogo (unashangaa wakati unauonja mbichi, ulikua sawa, unaupika, unakua mchungu au hauna unga, mgumu).
Simba wameshajipata kama team licha ya kasoro ndogondogo.
Sie tumewekeza sana lakini bado sijaona mpira wa kutakata unaoendana na nguvu iliyotumika.
Simba ni bingwa wa kihistoria, Afrika na Ulaya wanaijua Simba na Si hizo za kijanini na manjano.Klabu ya Simba Sc leo, Septemba 16, 2026, inatarajiwa kushuka dimbani kukabiliana na Azam Fc katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Premier League msimu wa 2026/27.
Simba inaingia katika mchezo huo ikiwa na rekodi nzuri baada ya kushinda michezo yake yote mitano iliyopita ya ligi na kukusanya pointi 15, na kumfulumusha mpinzani wake katika ligi ya mabingwa magoli 6 na kuweka rekodi ya dunia.
Tegemeo la simba lipo kwa mshambuliaji hatari machachari
Mfungaji bora wa NBC DOUMBIA