ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,795
- 39,504
Tarehe 10 oktoba sio mbaliSasa waleteni kijani waone cha moto
Mambumbumbu msicheke sana
Tarehe 10 oktoba sio mbaliSasa waleteni kijani waone cha moto
Sasa wee ni mkubwa?nimekuwa dogo tena?😳😳
Of course ndiyo.Sasa wee ni mkubwa?
Kwangu wee ni mdogo, ndio maana nimekuita dogo.Of course ndiyo.
we coca wee, mbona kama kuna kitu unataka kuninyimaKwangu wee ni mdogo, ndio maana nimekuita dogo.
we coca wee, mbona kama kuna kitu unataka kuninyima
Wee acha utani dogo.we coca wee, mbona kama kuna kitu unataka kuninyima
Yanga huwa wanashinda kwa kutukabia juu na kwa sababu huwa tunafanya makosa wanatufunga, ikitokea tu kocha akategua huo mtego tutawafunga.Sasa waleteni kijani waone cha moto
Huyu anaenda 50 yrs nowHuyu hajastaafu tu?
Sometimes match inatakiwa kuwa sare, Refa ananyima.Yanga huwa wanashinda kwa kutukabia juu na kwa sababu huwa tunafanya makosa wanatufunga, ikitokea tu kocha akategua huo mtego tutawafunga.
Kwanini bado wanamng'ang'aniaHuyu anaenda 50 yrs now
Kazi ifanyike ...
Mganga wake mzuri na mazoezi...ana faulo nyingi sana anacheza huyu jamaa.Kwanini bado wanamng'ang'ania
Kwa Mwanetu huyu "Faru John"lazima😁Ila kumtetea Doumbia inabidi uwe umepiga nyagi bila kichanganyio
KimeoLibase Gueye ni mtambo wa kurekebisha tabia
kuna mwingine yupo humu kasema apewe ban ya wikiKuna mwehu mmoja shabiki wa Azam alihojiwa asubuhi azam tv kasema kua ameweka bondi nyumba yake