Bado hamjasema, na mwaka huu mtasema kila team ni tawi letu alooohAzam ni tawi la Mbumbumbu
Abdallah vs Dullah😂😂😂 moderators hadi tuwachambe ndio muweke scoreboard na badge ya live?
Au hamuamini macho yenu? Ndio hivyoo Simba kamaliza deli la askrimu.
Mpooo?? Waleteeeeee 😂😂😂😂
niogope nini wakati jamaa hawapo😂😂😂 huogopiii?
Bado kusema ismail kwa SumaAbdallah vs Dullah
niogope nini wakati jamaa hawapo
nimekuwa dogo tena?😳😳Sawa Dogo.