Digitaldreamer
JF-Expert Member
- Jun 11, 2022
- 686
- 1,170
Mods wameingia mitinimbona scorebodi ya jamiiforum haibadili matokeo?
Mods wameingia mitinimbona scorebodi ya jamiiforum haibadili matokeo?
Sanaaaa.Tunashinda hii.
Ila Libase mtu saba
Modes wa leo ni utopolo, tuwasamehe tu.mbona scorebodi ya jamiiforum haibadili matokeo?
Atakatiwa kipande kule bariadi na maswaChama apewe wilaya aongoze
Apewe wizara ya michezo, anastahili.Chama apewe wilaya aongoze
Bwashee nakukumbusha lile chama lako bovu linacheza leo 22:00Mpanzu selfish
Ubinafsi sanaMpanzu sijui ni bahati ndo hana au ni uwezo wa kufunga ndo haupo.
heading huwa haibadilishwi na alieanzisha thread bali moderator tu.Huyu pimbi aliyeanzisha uzi mbona ameutelekeza? Hadi sasa kichwa cha uzi kinasema Azam 0 - 0 Simba. Au ni Liutopolo limekimbia uzi wake (maana lilijua Simba atafungwa)?
Ananiudhi sana mie kwa kweli. Aaah.Mpanzu selfish