REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,297
- 1,828
- Thread starter
- #41
Hii hai relate na RFIDthats true....human mind inaenda kusynchronize na mashine....
Kama tulivyoona huko Tokyo Japan kuwa tayari wanatengenezwa mainjinia ambao wamepandikizwa neural directive devices ambazo zinamwongoza kuelekeza watu namna ya kujenga tower na majengo makubwa yenye construction tata zaidi...
Any way wanaonekana binadamu na ngozi zao lakini mindly not....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app