Mr
lifecoded People won't understand you once you tell them you don't understand the presence of God particularly Africans.. kwa kuwaambia hutambui uwepo wa Mungu umewapeleka mbali sana they won't understand. Kama ujuavyo huwezi mchukua mtoto wa miaka 3 au 4 kisha umpeleke university first year, Yafaa zaidi umpeleke baby class, preUnity, Nursery kisha standard One then two na kuendelea. Hawa watu unaowaambia hutambui uwepo wa Mungu watakuona kama kichaa, tena Elimu yako kubwa uliyonayo kwao itakuwa haina maana.
Ipo hivi; Ukimwambia mtu Dini yako ni mbaya atakuelewa lakini ukimwambia Mungu wako ni mbaya hawezi kukuelewa hata kidogo ..its the bigin of endless war btween you.
Hawa watu nenda nao taratibu at the time they'll know the trueth.
Wape sababu halisi ya kutokuwepo kwa Mungu, na uwape source kwamba hii Elimu yako inayosema hakuna Mungu umeitoa wapi. Na ni lipi la maana kati ya kuwepo kwa Mungu na kutokuwepo.
La sivyo tayari umekwisha onekana mwendawazimu au ulie haribikiwa akili.
Hakuna utakae mweleza kitu akuelewe not only in Africa Duniani pote.
Wajapan ndio watu walioendelea zaidi in high technologies but wana Miungu yao wanayo iabudu na watu wana imani zao kuhusu Mungu. Mimi nipo hapa Japan naona. Hao hao unao sema wanaiongoza Dunia in hidden secrets wanayo Miungu yao ipo wazi kabisa na wanafanya ibada zao nzito nzito na za kutisha.. Kiasili ni kwamba Binadamu wote ndani yao wana asili ya Kuabudu ..Hajalishi nini anaabudu but they warship with their beliefs.