REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,963
- Thread starter
- #81
Kama hell IPO life assurance wanatoa kwa mamlaka kutoka wapi?probably and that matters coz kuna watu wanajua kila kitu...
Life assurance wanapeana wao huku idadi kubwa ikiachwa njia panda...
Ila kuna watu pia wanapewa life assurance ambayo sio kwa hiyo ni kuwa mjanja kutambua ni ipi sahihi zaidi ...
Utaishia kupewa task uzifanye kisha upewe life assurance ambayo sio..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app