From the green world to a black world

thats true....human mind inaenda kusynchronize na mashine....

Kama tulivyoona huko Tokyo Japan kuwa tayari wanatengenezwa mainjinia ambao wamepandikizwa neural directive devices ambazo zinamwongoza kuelekeza watu namna ya kujenga tower na majengo makubwa yenye construction tata zaidi...

Any way wanaonekana binadamu na ngozi zao lakini mindly not....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hai relate na RFID

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hai relate na RFID

Sent using Jamii Forums mobile app
noma mkuu...bora ingekuwa RFID sasa hapo jamaa anakuwa corrected by mashine kama kitu hakijaenda sawa anakidetect mapema sana...

Halafu nimesikia RFID zipo mpaka kwenye pesa sasa hivi...ukishika tu pesa inatuma taarifa sehemu kama upo kwenyr universal data base inakusoma fasta....hawa janaaa bana...watatumaliza ...

ila lengo lao ni kutokomeza hii kitu inayoitwa humanity....

wanataka kuruhusu new civilization ya extraterrestrial beings wakiwa na few hybrid na binadamu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huoni hapo watu wako tofauti kimtazamo ndo maana umeamua Kuwaita,kuwapa sheria na hatimaye kujenga mfumo ambao wote wawili wataufata,je bila kuweka mfumo huoni wanadamu kila mmoja anawaza lake liwe vipi .INSHORT hatupo sawa ila tunakaa meza moja kujenga mfumo ambao utatufanya tuishi sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nakufafanulia tena zaidi. Narudi nyuma kidogo na kutilia mkazo yale niliyo yasema mwanzo.

Uhuru tulio pewa,milango ya fahamu na akili tulipaswa au tunapaswa kuvitumia katika kufata njia moja kiimani,kimtazamo na kiutendaji pia,ila kwa vitatu hivyo kila mtu akaamua kufanya anayo fanya jambo ambalo ki uhalisia ni makosa.

Nilikupa mfano wa kiulimwengu mfano ambao sheria ameziweka mwanadamu ili kuweka mambo sawa na kuwa sababu ya usalama.

Lengo la kutoa mfano huo nilitaka tufikie hapa. Ili twende sawa na kufikia mufaka naomba kwanza unijibu maswali haya :

1. Je una amini kama ulimwengu una mwenyewe ? Yaani yule aliye uumba ?

2. Kama jibu ni ndio ? Je unafikiri yule aliyeumba ulimwengu na vilivyomo hakuweka njia bora kwa viumbe wake ? Yaani waifate ili kufikia lengo la kuumbwa kwao ?
Jibu kama ni ndio kwa kufatana na tofauti zetu za kimaubile huoni kama ni lazima tuwe na mtazamo mmoja ? Imani moja na tutende lililo moja ?
 
Vyote hivyo ni sawa ila katika mitazamo tofauti MF.mhindi,mwarabu,mwafrika,mchina na myahudi hawa wote wanaabudu,wana imani zao,na njia waendayo ila ni makundi yenye mfumo mmoja ila mitazamo tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyote hivyo ni sawa ila katika mitazamo tofauti MF.mhindi,mwarabu,mwafrika,mchina na myahudi hawa wote wanaabudu,wana imani zao,na njia waendayo ila ni makundi yenye mfumo mmoja ila mitazamo tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app

Haya ni matokeo ya ule uhuru. Ninachokizungumzia mimi ni ile asili kwa maana huo uhuru unatakiwa uelekezwe katika asili.
 
Zimekuwa elimu sababu watu wanajifunza na kuzifanyia kazi.

Mfano mzuri,elimu kuhusu Uchawi,elimu kuhusu Falsafa au elimu ya Falsafa na mfano wake elimu hizi hupaswi kujifunza sababu zina athari hasi kihisia na kimaana.
Kama elimu huunganisha imani na matendo kwanini uzikatae ?basi nikipi hasa huunganisha maana kama ni elimu si kweli maana elimu zingine unazikataa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama elimu huunganisha imani na matendo kwanini uzikatae ?basi nikipi hasa huunganisha maana kama ni elimu si kweli maana elimu zingine unazikataa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama unakumbuka nilikwambia kuna elimu nyingine zinapelekea katika uongo na uasi.

Kama kuna elimu hizo basi zipo zile ambazo ni kinyume chake.

Kinacho unganisha imani na matendo ni Elimu sahihi.

Labda tuweke wazi tunaposema matendo tuna maanisha nini ?

Kuna matendo ya aina mbili,yapo matendo ya kidini (imani) naatendo yasiyo ya kidini yaani haya matendo ya pili si sharti katika kukubalika lile tendo la kidini.

Sasa kulingana na hiki unachokiuliza au tunachokijadili yaani imani na matendo bila shaka tunazungumzia elimu ya kidini.

Sasa hizo elimu tunazozikataa ni zile ambazo zinapelekea kumtoa mwanadamu katika ufanisi wa matendo na kumfanya awe mwenye kukosea na kujutia.
 
Mfumo wa kuishi kama jamii,kula,kuabudu na kuamini hata wahindi wanafanya hivi ila wanavyoishi,kula,kuabudu,mungu wao,imani zao.TUMETOFAUTIANA

Sent using Jamii Forums mobile app

Waafrika nao wanaishi kijamii na wana abudu pia. Kwani tunavyoishi sisi na wama sai na wengine tuna fanana ? Kama hivyo ndivyo kwanini umetutoa katika huo mfumo mmoja wa hao wengine ?
 
Back
Top Bottom