REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,961
- Thread starter
- #21
Wahadzabe wapo kwenye system?ukienda na hiyo system, hata utakacho hitaj kitakuwa on system
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahadzabe wapo kwenye system?ukienda na hiyo system, hata utakacho hitaj kitakuwa on system
Mkuu utashi unapelekea Mimi kujua kuna namna mambo yanaweza kuwa sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu haya mambo ni mazito sana wanaoweza kuhoji haya mambo wanazidi kupungua daily kwa sababu mwanadamu amekuwa subjected kwenye illusion inayoua sense of perfectness....Habari wakuu,
Dunia ilipofika sasa ni kwenye stage ya "high manipulation zone" ni hatua ambayo wanadamu asilimia kubwa wako easily controlled na so called "hidden system" ambayo huona output zake na sio input zake.
Dunia ya sasa ni dunia ambayo walimwengu wako dependent kwa technology ilhali hawajui mwisho na hatima ya technology ni IPI,hawajui nini maana ya wao ,"humanity",ni masikitiko makubwa sana kuwa wanadamu wamekuwa kuku ambao wanafuata punje moja baada ya nyingine mpaka kwenye chumba cha machinjio na hakika watachinjwa wengi.
Green world ancestors or our fore fathers waliweza kuongea ama kusikia sauti za higher devine ila kwenye mwelekeo wa black world sauti imezima kabisa,watu wa zamani waliweza kuwa close na higher devine sisi sasa tumeachwa wenyewe.
Now tushaingia kwenye danger zone,ili uweze kuwa safi na salama you just have two ways,either uishi nje ya mfumo huu wa dunia ama ufe ukikataa mfumo dhalimu wa ulimwengu.
Media,security,sports,religion,science,food,drugs,drinks,love,sex,movies,cartoons,NASA,theology,education,economy,wars,governments,wealth,music and etc make the world meaningful according to some individuals but in reality these all are dots that create you,build you ,teach you,make you happy,install your belief,make you a slave and finally abond you forever .
Don't ask me how just try figure it out,nachoandika si sheria ila unaweza ukatafakari au kupuuzia ,Uhuru ni wako.
Ina maana gani Mimi kutokea ulimwenguni?Mimi ni nani au nini?kwasababu gani nipo?kwanini nife?je nimekuja kula ,kuishi na kufa au kufanya nini?kwanini tupo ili iweje,kwanini tuondoke INA maana gani??majibu unayo mwenyewe.
SAMAHANINI KWA LUGHA NILIYOTUMIA HUWA SIPENDI KUTOA HOJA KWA KIJIKO BALI KWA KUKUAMBIA TUMIA MKONO WAKO
ASANTENI
View attachment 989768
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtazamo wako unaweza kuwa sawa, who knows. Ila jiulize kwa nini jambo unaloliona kwako ni potofu kwa mwingine ni sawa? Utashi...Mkuu utashi unapelekea Mimi kujua kuna namna mambo yanaweza kuwa sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa nilicho kiandika mzee ?
Una elewa nini unapoambiwa "....yanatakiwa kuwa sawa ...." ?
Kama hujaelewa uliza.
Nimekuelewa sana ila haiwezakani maana kila kiumbe ana mtazamo wake .
Ni kipi kinachoweza kuunganisha imani na matendo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ofcourse , i dont allow my mind to be controlled by anythingMkuu nadharia ya kula asubuhi ,mchana na jioni na kulala masaa nane imekaaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipi kinaweza kikatujenga mtazamo mmoja ili wote tutafautishe kilichosawa na kisichosawa?Kwa mtazamo wako unaweza kuwa sawa, who knows. Ila jiulize kwa nini jambo unaloliona kwako ni potofu kwa mwingine ni sawa? Utashi...
Hatuwezi kufanya [hata] jambo moja bila utashi wetu. Wakati tunapoamka asubuhi mpaka tunapoenda kulala usiku, tunaendelea daima kutumia utashi wetu kufanya maamuzi. Kwa hiyo tunaweza kuanza kuona kwamba maisha yetu yamejengwa kwa uchaguzi tofauti na matendo ambayo tunayafanya...
Sehemu ya kupichu pichu itakua tamu sanamkuu haya mambo ni mazito sana wanaoweza kuhoji haya mambo wanazidi kupungua daily kwa sababu mwanadamu amekuwa subjected kwenye illusion inayoua sense of perfectness....
Illusion inatawala reality....
Mbaya zaidi uwezo wa kuview things katika dimension kubwa unapungua kwa kasi huku neurones zinazohusika na cognition awarenss katika divine intelligence zinakufa kwa kasi ya ajabu ...
Kuna mpango mkubwa sana kwa kuua switch genes zinazomconnect mwanadamu na higher intelligence divine matrix....
Tunabaki kama Artifial created beings ambao hatuwezi tukahoji mamlaka za juu zikatueleza hata hatima( Fate) yetu...
We are just miandeling here and there kufurahia mageuzi ya kitechnologia lakini yanatuathiri kwa kasi sana...
Week iliyopita huko dubai wamezindua new Cinemas ambayo inaonesha katika 5D na 7D manake nini ,unachokuwa unakitazama kwenye screen kitakuwa kinatoka nje ya screen kuinteract na sense of awareness yako...yani kama mtu kipigwa mshale tumboni huo mshale utakuwa unatokeza outside screen yani kama ni uoga basi uwe nao kama anavyoupata yule anayefanyiwa tukio...daaaah...imenishangaza sana technology ile...
Technolojia hiyo itakuwa na uwezo wa kubadilisha mfumo wako wa hafamu kwa kasi kubwa sana ,tutakuwa subjected kwenye fear na anger kubwa sana ukiwa kwenye CINEMAX hall.
Utakuwa na uwezo wa kufeel anger,pleusere ,happness,saddness na kila ina ya hali ambayo inakuwa portrayed kwenye cinema show....
Viti(seat) ambazo unakuwa unakalia mule ndani vimeunganishwa na computer screen ambayo kila tukio linalotokea kwenye show ( screen) utakuwa unalipokea moja kwa moja kupitia electrical impulse signal ambazo zimeconnectiwa na kiti au siti yako hence kuinteract na impulse za mwili wako na unajikuta upo kwenye movie na wew wakati ni mtazamaji ..
Hiyo yote ni kuharibu gene ambazo zinakuconnect na higher divine matrix katika higher centres lakini uwezo huo unaenda kudumazwa haraka sana...
tutakuwa connected worldly or globally wote kwa pamoja kutokana na technolojia hizo ambapo watakuwa na uwezo wa kukuweka kwenye mazingira ya fear na condition wanayoitaka wao...
hiyo ni 7D view je hiyo 15D view ambayo itazinduliwa miaka 3 ijayo itakuwaje...??
si ndo itakuwa na uwezo wa kumanipulate mind yako kabsaa ...!!
lets keep waiting and enjoy the movement
View attachment 989943
Sent using Jamii Forums mobile app




Vizuri, naomba niulize hivi kuna elimu itokanayo na uwongo?Kinacho onganisha imani na matendo ni Elimu.
utakuwa unasogezewa kitu karibu kabsaaa....wale jamaaa ni noma...
Kama tunafanana kimtazamoMkuu ofcourse , i dont allow my mind to be controlled by anything
Mfano ,naamini Mungu yupo , ila siamini katika dini nyingi za sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa sana ila haiwezakani maana kila kiumbe ana mtazamo wake .
Am a neural scientist also sirutakuwa unasogezewa kitu karibu kabsaaa....wale jamaaa ni noma...
kila siku nasema Neural scientists wanasiri kubwa sana...
washamaliza kustudy ubongo wote ila hawataki kusema na kuweka mambo wazi...
Ni ngumu snaa kuunganisha mind ya mwanadamu na mashine but thet have made it....
Na tusubiri kuona makubwa sana mkuu...
Ila nataka niende Dubai nikaone 7D mkuu kama itaniathiri![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa maandiko [Biblia], jambo hili haliwezekani kwani kila mmoja amepewa haki na uhuru wa kuchagua au kukataa jambo. Kila mtu anao uwezo wa ndani wa kukubali na kutii, au kukataa na kuasi. Hii imeanza tangu kuumbwa kwa mtu wa kwanza [Adam], waliumbwa na Mungu na kupewa uwezo huu wa hiari ya kuchagua...Kipi kinaweza kikatujenga mtazamo mmoja ili wote tutafautishe kilichosawa na kisichosawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Artificial intelligence itatawala dunia sisi tutakuwa wajinga machines zitakuwa very brilliant,hatutoweza Fanya chochote bila msaada wa robots and CGIutakuwa unasogezewa kitu karibu kabsaaa....wale jamaaa ni noma...
kila siku nasema Neural scientists wanasiri kubwa sana...
washamaliza kustudy ubongo wote ila hawataki kusema na kuweka mambo wazi...
Ni ngumu snaa kuunganisha mind ya mwanadamu na mashine but they have made it....
Na tusubiri kuona makubwa sana mkuu...
Ila nataka niende Dubai nikaone 7D mkuu kama itaniathiri![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
thats true....human mind inaenda kusynchronize na mashine....Artificial intelligence itatawala dunia sisi tutakuwa wajinga machines zitakuwa very brilliant,hatutoweza Fanya chochote bila msaada wa robots and CGI
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huoni hapo watu wako tofauti kimtazamo ndo maana umeamua Kuwaita,kuwapa sheria na hatimaye kujenga mfumo ambao wote wawili wataufata,je bila kuweka mfumo huoni wanadamu kila mmoja anawaza lake liwe vipi .INSHORT hatupo sawa ila tunakaa meza moja kujenga mfumo ambao utatufanya tuishi sawa.Niliposema "...yanatakiwa kuwa sawa ....". Nili maanisha nyuma au kuna njia maalumu bazo kila binadamu anatakiwa kuzifata ili kufikia lengo hapa namaanisha kufata sheria.
Nakupa mfano wa kilimwengu.
"Ina takiwa gari likifika katika Zebra lisimame" . Hapa namaanisha kila muendesha gari anatakiwa akifika kwenye zebra asimame,hii ni kwa ajili ya usalama wa pande mbili,ya usalama wa wavukaji na muendesha kipando. Kinyume na hayo tunasema umekiuka sheria.
Hivi ndivyo nilivyo maanisha mimi je umeelewa hivi ?
ndo maana hawahitaj tunavyo vihitaji sis