From the green world to a black world

From the green world to a black world

Elimu ni nini?
Kama unakumbuka nilikwambia kuna elimu nyingine zinapelekea katika uongo na uasi.

Kama kuna elimu hizo basi zipo zile ambazo ni kinyume chake.

Kinacho unganisha imani na matendo ni Elimu sahihi.

Labda tuweke wazi tunaposema matendo tuna maanisha nini ?

Kuna matendo ya aina mbili,yapo matendo ya kidini (imani) naatendo yasiyo ya kidini yaani haya matendo ya pili si sharti katika kukubalika lile tendo la kidini.

Sasa kulingana na hiki unachokiuliza au tunachokijadili yaani imani na matendo bila shaka tunazungumzia elimu ya kidini.

Sasa hizo elimu tunazozikataa ni zile ambazo zinapelekea kumtoa mwanadamu katika ufanisi wa matendo na kumfanya awe mwenye kukosea na kujutia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nashangaaa kitu kimoja...kuna watu wanadai wapo free ,yani hawapoaffected na maisha haya ya new error za civilization...ukimuliza umejuaje kama upo free na unapinga kuwa kwenye system controller hajui...

Unatumia kigezo gani kusema kuwa ustaarabu huu haukuharibu au haukuaffect....??

indicator zipi ...??

kama kila kitu unachotumia kinatengenezwa na wao,vyakula na mambo yote wanakupangia wao...

everything they control themselves...sasa huko kusema upo free unatumia kigezo gani...??

daaaah...elimu ni kitu kikubwa sana ambacho tunakosa...maarifa ya kutufanya tutambue kama tupo controlled ni madogo sana...

Yani unakuta mtu unapinga kwa nguvu zote huku kila anachotumia 100% ni manipulation kutoka kwao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wengi sana mkuu tena wengi kweli kweli.
Hivi mkuu lengo lao hasa ni nini maana hii kitu imerelay kwenye revelation na naimani yatatimia 100%

human being ni source of energy....

we are not born but we are growing somewhere ....

Ukilijua hili ndo utajua kuwa haya maisha tunayopewa ni kukeep busy illusion tujue kuwa tunaadvance but we are growing somewhere ...

our mind interprete katika mazingira tofauti sana...ila kiukweli there is a purpose behind kwanini tupo hapa duniani...

you serve a purpose for beneficial purpose mkuu....

Ndani ya ulimwengu huu kuna maisha yanaendelea aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila mmoja yupo sawa according to mazingira na mtazamo wa kifikra

Yaan ni sawa na muiraq azaliwe kwa wasukuma lugha yak ya kwanza itakuwa ni ipi? na je, ni sahihi au ni makosa?
Makosa tunayapima kwa kuzaliwa,lugha ama tunavyoishi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
human being ni source of energy....

we are not born but we are growing somewhere ....

Ukilijua hili ndo utajua kuwa haya maisha tunayopewa ni kukeep busy illusion tujue kuwa tunaadvance but we are growing somewhere ...

our mind interprete katika mazingira tofauti sana...ila kiukweli there is a purpose behind kwanini tupo hapa duniani...

you serve a purpose for beneficial purpose mkuu....

Ndani ya ulimwengu huu kuna maisha yanaendelea aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekusoma do you believe the bible?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekusoma do you believe the bible?

Sent using Jamii Forums mobile app
bible is just another level of illusion encoded within phrases...

the bible is real but coded inside, but what is translated is not real at all...

Unaposikia mbingu saba kwenye bible mtu anajua kabsaa ni mbingu za njuu angani but kinachoongelewa mule ni chakras

Ndo mana nikasema the bible has nothing inside by its illusion translation as portrayed to the people ila ina codes ambazo huwezo kuzielewa katika mazingira ya moja kwa moja ....

You need another msahafu ukuelezee reality ilivyo not in the bible...

Simply because hajiapangiliwa vizuri kama watu wanavyofikilia ....mbaya zaidi kadri siku zinavozidi kwenye coding kwenye bible zinazidi kuwa katika infinite permutation coding system yani kuujua ukweli mpaka uconnect mistali zaidi ya 10 kutoka vifungu tofauti kisha ndo uje utafsiri katika reality ndo utajua kinachoongelewa mule ndani...

It has lots of codes ambazo huwezi ukajua chochote kwa sasa coz mtririko wake wameutoa na kutoa baadhi ya maneno kisha kuinverse sasa hapo unategemea kuelewa nini...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaifahamu biblical code mkuu ya torah
bible is just another level of illusion encoded within phrases...

the bible is real but coded inside, but what is translated is not real at all...

Unaposikia mbingu saba kwenye bible mtu anajua kabsaa ni mbingu za njuu angani but kinachoongelewa mule ni chakras

Ndo mana nikasema the bible has nothing inside by its illusion translation as portrayed to the people ila ina codes ambazo huwezo kuzielewa katika mazingira ya moja kwa moja ....

You need another msahafu ukuelezee reality ilivyo not bible...

Simply because hajiapangiliwa vizuri kama watu wanavyofikilia ....mbaya zaidi kadri siku zinavozidi kwenye coding kwenye bible zinazidi kuwa katika infinite permutation coding system yani kuujua ukweli mpaka uconnect mistali zaidi ya 10 kutoka vifungu tofauti kisha ndo uje utafsiri katika reality ndo utajua kinachoongelewa mule ndani...

It has lots of codes ambazo huwezi ukajua chochote kwa sasa coz mtririko wake wameutoa na kutoa baadhi ya maneno kuisha kuinverse sasa hapo unategemea kuelewa nini...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaifahamu biblical code mkuu ya torah

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hiyo bible code of Torah imefanyiwa case study nyingi sana miaka na miaka lakini hakuna mtu aliyekuja na jibu la maana mpaka leo ...

Hiyo code ni tata sana hasa kitabu cha Hebrew...

Inasemekana kwamba kwenye maneno kuna code zinazoelezea kitu kwa siri..

Mfano unaweza some neno limeandikwa NEO ila kumbe maaana yake ni ONE na hiyo inakuja baada ya kuligeuza neno hilo ndo umejua kuwa ni ONE na sio NEO ..

sasa mkuu ukishajua kuwa kinachoongelewa ni ONE basi njoo ule kazi nyingine ya kujua maana ya hilo neno ONE ..

Ndo mana nakwambia bible ni double encoded scripture ambayo ni complicated sana...

Kuna kozi maalumu ambayo wanasoma maaskofu huko Roma ukiwa miaka kadhaaa ya utume inaitwa UNCODING BIBLE PHRASES

hiyo kozi hawasomi watu kama mapadre na watawa wengine mpka ufikie level flani...imagine padre pamoja na kusoma miaka 7 lakini bado matango anayolishwa ni mengine na uhalisia atakuja kuujua badae...hivi huoni hiyo kitu ni complicated sana...??

Ndo mana nasema bible ni complicated kinyama...haina maelezo yoyote ila ni code tu mwanzo mwisho na zimewekwa kwa maneno na namba ..

kwa mfano kwenye book of Torah inasemekana kila baada ya letter 50 neno Torah limejirudia...

taking every 50th letter of the Book of Genesis starting with the first taw, the Hebrew word "torah" is spelled out.

kuna documentary flani kama sikosei inajaribu kuielezea hii The Bible Code na kuna movie inaitwa The Omega Code hii itafute uiangalie inakufungua kitu flani mkuu..

Bible code ni shida mpaja leo... ndo mana watu wanaamua kufuatilia misahafu mingine kama KABALLAH ndo inawapa ufunuo wapi pa kuanzia....

Mtu mmoja tu ambaye ni Leonardo Da vinci ndo alitaka kuitafsiri bible kwa kuiweka katika open way code lakini walimditect mapema sana na nahisi walimua kama sikosei make kifo chake ni kitata sana ila makablasha ya mwisho waliyoyakuta kwake yalikuwa yanasomeka UNCODING BIBLE ...

hii dunia ina watu wake...ndo mana nasema tunachezeshwa kama midoli mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo yoooote ni sahihi, lakini ss tufanyaje wkati ndo tupo inside the truck.. mmetoa mfano km wa masai na wahadzabe, yah its true wao wanaenjoy their ways. je sisi leo ambao tumetambua haya, tuna weza kurudi kwenye mfumo wa zamani?
hii discussion effect yake nini?
tutegemee changes gani baada ya kugundua ukwel?
 
Kitu cha kwanza kabisa amini kuwa kuna system inayokucontrol...

ukishajua na kuamini hilo basi tafuta what the system is..
Badae ndo unaweza ukapata pa kuanzia kusynhronize na system hiyo...

You must believe kuwa there is a system kwanza ambayp inacontrol vital informations ambazo zinaelezea mfumo wa mwanadamu kuwepo hapa duniani na fate yake...

ukishaamini hivo basi find how to synchronize with the system hiyo kwa sababu ndo system pekee ambayo ina offer maisha yote ambayo ni illusion na real life ..

the stystem offers both life forms( Illusion pamoja na reality)..

kama huwezi fanya hivo kila siku itakuwa ni kutafuta uhalisia lakinj hutauelewa...

You must believe first

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hiyo bible code of Torah imefanyiwa case study nyingi sana miaka na miaka lakini hakuna mtu aliyekuja na jibu la maana mpaka leo ...

Hiyo code ni tata sana hasa kitabu cha Hebrew...

Inasemekana kwamba kwenye maneno kuna code zinazoelezea kitu kwa siri..

Mfano unaweza some neno limeandikwa NEO ila kumbe maaana yake ni ONE na hiyo inakuja baada ya kuligeuza neno hilo ndo umejua kuwa ni ONE na sio NEO ..

sasa mkuu ukishajua kuwa kinachoongelewa ni ONE basi njoo ule kazi nyingine ya kujua maana ya hilo neno ONE ..

Ndo mana nakwambia bible ni double encoded scripture ambayo ni complicated sana...

Kuna kozi maalumu ambayo wanasoma maaskofu huko Roma ukiwa miaka kadhaaa ya utume inaitwa UNCODING BIBLE PHRASES

hiyo kozi hawasomi watu kama mapadre na watawa wengine mpka ufikie level flani...imagine padre pamoja na kusoma miaka 7 lakini bado matango anayolishwa ni mengine na uhalisia atakuja kuujua badae...hivi huoni hiyo kitu ni complicated sana...??

Ndo mana nasema bible ni complicated kinyama...haina maelezo yoyote ila ni code tu mwanzo mwisho na zimewekwa kwa maneno na namba ..

kwa mfano kwenye book of Torah inasemekana kila baada ya letter 50 neno Torah limejirudia...

taking every 50th letter of the Book of Genesis starting with the first taw, the Hebrew word "torah" is spelled out.

kuna documentary flani kama sikosei inajaribu kuielezea hii The Bible Code na kuna movie inaitwa The Omega Code hii itafute uiangalie inakufungua kitu flani mkuu..

Bible code ni shida mpaja leo... ndo mana watu wanaamua kufuatilia misahafu mingine kama KABALLAH ndo inawapa ufunuo wapi pa kuanzia....

Mtu mmoja tu ambaye ni Leonardo Da vinci ndo alitaka kuitafsiri bible kwa kuiweka katika open way code lakini walimditect mapema sana na nahisi walimua kama sikosei make kifo chake ni kitata sana ila makablasha ya mwisho waliyoyakuta kwake yalikuwa yanasomeka UNCODING BIBLE ...

hii dunia ina watu wake...ndo mana nasema tunachezeshwa kama midoli mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha eti midoli,all in all 10 commandments hazitoshi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nimekuelewa sana search deep data from the hidden society and find a route escape si ndiyo
Kitu cha kwanza kabisa amini kuwa kuna system inayokucontrol...

ukishajua na kuamini hilo basi tafuta what the system is..
Badae ndo unaweza ukapata pa kuanzia kusynhronize na system hiyo...

You must believe kuwa there is a system kwanza ambayp inacontrol vital informations ambazo zinaelezea mfumo wa mwanadamu kuwepo hapa duniani na fate yake...

ukishaamini hivo basi find how to synchronize with the system hiyo kwa sababu ndo system pekee ambayo ina offer maisha yote ambayo ni illusion na real life ..

the stystem offers both life forms( Illusion pamoja na reality)..

kama huwezi fanya hivo kila siku itakuwa ni kutafuta uhalisia lakinj hutauelewa...

You must believe first

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nimekuelewa sana search deep data from the hidden society and find a route escape si ndiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
probably and that matters coz kuna watu wanajua kila kitu...

Life assurance wanapeana wao huku idadi kubwa ikiachwa njia panda...

Ila kuna watu pia wanapewa life assurance ambayo sio kwa hiyo ni kuwa mjanja kutambua ni ipi sahihi zaidi ...

Utaishia kupewa task uzifanye kisha upewe life assurance ambayo sio..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom