FROM POLITICS TO BONGO MOVIE; Le Mutuz with Multiple talents | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FROM POLITICS TO BONGO MOVIE; Le Mutuz with Multiple talents

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kiganyi, Aug 16, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]


  Mtoto wa mwanasiasa mkongwe wa nchini John Malechela, William ameamua kuonesha upande wake wa pili kama muigizaji wa filamu.

  William Malechela ambaye pia ni mwanasiasa, ameshiriki kuigiza kwenye filamu mpya ya Sintah, iitwayo The Return of JLO.


  Kwa mujibu wa Sintah, Willam ameonesha uwezo mkubwa kwenye uigizaji wa filamu.


  Mwezi April mwaka huu, William aligombea ubunge wa Afrika Mashariki lakini hakufanikiwa kuupata.


  “Jana kwenye uchaguzi wa Ubunge wa EAC nimeshindwa fairly na sina malalamiko, ninawapa hongera washindi wote walioshinda leo na hasa my best friends Shyrose, Dulla, na Makongoro, Mungu awaongezee na wakatumikie vyema taifa letu!


  As for me sasa ni wakati wa kukaa chini na kutafakari nilipokosea na kuanza kujipanga upya,”
  aliandika Willam kwenye mtandao wa Jamii Forums.

  ****
  Mkuu Le Mutuz hii nimeiona katika Blog moja ya udaku! Mkuu sasa wewe una play character gani katika filamu hii?? Je ndio tukusahau katika Siasa au??

  Hongera Mkuu!!

   
 2. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa nyie msimdharau

  hivi hivi atafika mbali sana tuuu

  msisahau kuwa ni baharia so he is a hustler by nature

  cant knock his hustle though
   
 3. mito

  mito JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,646
  Likes Received: 2,033
  Trophy Points: 280
  Maisha ni kujaribu kote kote mkuu
   
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,465
  Trophy Points: 280
  bado yupo bongo.?
   
 5. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  kaza kaka labda utafika hollywood
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Hata kama kujaribu sio kwa yeye,sasa akienda bongo movie na kina timbulo wakishindwa muziki waende wapi?
   
 7. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa mwendo huu, akimaliza mwaka Bongo atakuwa amejaribu fani/kazi nyingi sana
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hivi ni mtoto gani mwingine wa vigogo ambaye anafanya Bongo Movie, au huyu ni wa kwanza?
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  Du, huyu jamaa ni mwehu kabisa. Nakumbuka alipokuwa na migogoro na mkewe, alikuwa anaenda kumtukana kwenye facebook
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,386
  Trophy Points: 280
  Gangamala Baharia,
  Unachonifurahisha unajimix kitaa kwa sana tu,
  Rudi jamvini bana!!!
   
 11. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Nadhani kwenye siasa ndo anajaribu, he is more of a celebrity than a politician!
   
 12. only83

  only83 JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nampa hongera sana huyu jamaa, amesoma majira na nyakati, yeye na siasa ilikuwa kama Mbingu na Ardhi, ila sasa ameingia kwenye fani itakayo mfaa. Cha msingi ajaribu na taarabu au bolingo.
   
 13. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Kwa jinsi anavyopenda Vibinti yeye tu ndie atkuwa amesababisha kugombana na huyo mkewe
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Huoni kama he is so peculiar? Ndo anaonyesha njia aisee. Kwani mtoto gani wa kigogo alishagombea uongozi wa kata?
   
 15. Shixi889

  Shixi889 JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Mmmmmhhh???:shock: :shock:
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  na soon mtaskia anatoka na huyo jlo
   
 17. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,212
  Likes Received: 10,550
  Trophy Points: 280
  Unadhani hayupo?.. sema mwambie arudi na ID ile ya zamani.
   
 18. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #18
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Hili ni tatizo kubwa sana la mtoto kutembelea nyota ya mzazi,lakini watu wanashindwa kuelewa kuwa John atabakia kuwa Cigwiyemisi na William atabakia kuwa Le Mutus....kuna tofauti kubwa sana hapo..
   
 19. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #19
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,635
  Likes Received: 1,992
  Trophy Points: 280
  Anatafuta njia rahisi ya kuwanasa dada zetu kwenye 'scene'!
   
 20. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #20
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  uyo jlo ndo sinta au
   
Loading...