Atanioa mimi shoo najua kupika chapati😂😂😂Boom unaoa asiyejua kupika chapati 😁
❌
Kuwa mbunifu!Vya kuota sio, ile unaokota waweza kula teke la matako hadi ukaangukia kichwa
Aanh nmekumbuka! Nakuja 💃🏽Ile na wewe ,umesahau wap
Unaokotea miguu 😅Kuwa mbunifu!
Huwezi kuona mali si yako!! Tutakusimlia tu matokeo😂
Mifuko😂Unaokotea miguu 😅
Huwezi kupinga namna hiyo..?Pumbavu kbsa
Naunga mkono hojaHuwezi kuona mali si yako!! Tutakusimlia tu matokeo😂
😅😅 aaah! Hiyo haikubarikiMifuko😂
😅😅 Kumbe hiyo ni mali eeh.. na sikuwa nafahamu leo ndio wanijuzaHuwezi kuona mali si yako!! Tutakusimlia tu matokeo😂
Haikubaliki au haikubariki?😅😅 aaah! Hiyo haikubariki
Haikubaliki au haikubariki?
Note ,haya ni maneno mawili yenye maana tofauti
Ulijua ni nini? Okoto au😅😅 Kumbe hiyo ni mali eeh.. na sikuwa nafahamu leo ndio wanijuza
😅😅 Sikuwa najua kitu ndio nimejifunza hapaUlijua ni nini? Okoto au
Habarikiwi yeye!Haikubaliki au haikubariki?
Note ,haya ni maneno mawili yenye maana tofauti
Ukikuwa utaelewa son..😅😅 Sikuwa najua kitu ndio nimejifunza hapa
😅 Hapana nisikuwe mambo yenyewe nasikia yanataka sana helaUkikuwa utaelewa son..
Subir nije kupunguza hasira za refereeBasi mtoto nishampanga hapa anukia marashiii hatarii na harufu ya utuli.. ushindwe wewe tu kazi yangu nimemaliza