secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,527
- 29,173
Bila shaka ni mimi 😎.Umejua kunikomeshea mtu🤣🤣🤣
Mi babe wangu mmoja tu kwenye list😂
Bila shaka ni mimi 😎.Umejua kunikomeshea mtu🤣🤣🤣
Mi babe wangu mmoja tu kwenye list😂
sheremayaNimejisifu nikiwa wapi?
Aaaah nlokole mbona umepata hasira ghafla usiwe kama amantombezane zingine 😏😏
Hebu nipishe ukoo
Anataka kututoa kafara huyu 😂😂Wazee wa nyota
Jamaa atakuwa ni filmasoni anataka kutoa watu kafaraUrafiki huwa unakuja automatic tu hamna cha kuangalia tarehe wala nini 😎
Njoo SeranHebu nipishe ukoo
Atakuwa ni nini?Jamaa atakuwa ni filmasoni anataka kutoa watu kafara
Wala usijali kwa maana niko macho kukulinda dhidi ya wahuni.Huu uzi utanipandisha sukari bure nikae zangu kushoto tu😆
Kumbe kaka ndiyo mwenye jimbo Acha nijitoe tuSeran napendana naye, anapendana nami.
Ulifanikiwa chochote au nije😅 Yeye alikuwa anakutaka wewe na sio dosho12
Kwenye hii list kaka dosho12 kasingiziwa
Mkuu naomba niachie bhana hii Mali, nitakununulia hata mbege aisee.Kumbe kaka ndiyo mwenye jimbo Acha nijitoe tu
inatia shaka kidogoJamaa atakuwa ni filmasoni anataka kutoa watu kafara
Jaribu na kwa Xiao qui shui naona anatamani nayeye apambaniwe hivi😂Sikio la kufa halisikii dawa
Me nakungoja
Kwako bila mbege najiweka pembeniMkuu naomba niachie bhana hii Mali, nitakununulia hata mbege aisee.
Anza na muhuni aliyekuita hapa kwanza😅Wala usijali kwa maana niko macho kukulinda dhidi ya wahuni.