Friendship connect (tuunge urafiki) tafadhali!

Friendship connect (tuunge urafiki) tafadhali!

Unajua ukitaka kuona mtu yukoje gusa kwenye udhaifu wake weeeh lazima POVU lijae jaba

Kamind kisa kamjua demu wangu nilimtaja hapo, na nimemkataaa zaidi ya mara tatu🤣🤣😀

Na wana wanasema washajipigia akina sheremaya, wacha nienjoy penzi langu na Ua la waridi sitaki pisi zingine

Already branded🔥
😂😂😂, Seran akiwa nami ataenjoy na kusau shida za huko nyuma. Atanenepeana hadi shingo itakuwa fupi kama Cha hippopotamus.

sheremaya ni muongo wa kutupwa 😂😂😂.
 
😂😂😂, Seran akiwa nami ataenjoy na kusau shida za huko nyuma. Atanenepeana hadi shingo itakuwa fupi kama Cha hippopotamus.

sheremaya ni muongo wa kutupwa 😂😂😂.
Yaani bado unahangaika na hilo taira mandazi!😂 sina huo muda aisee.. am too old for this shit 🚮
 
Asanteni kwa kuwepo kwenye uzi huu, mmeupeleka mpaka pg 18 lakini kwa kubadili makusudio, shida ya kudumu kwenye mawasiliano huwa ni makusudio yasiyofahamika na ufahamu usiokusudiwa, imetokea kwenye huu uzi pia
 
Kuna watu ni naturally incompatible, nao uadui wao au kutopatana kwao kunakuwa automatically.
 
😂😂😂😂 Naomba template ya unachohitaji kujua
Bank statement tu tuangalie cash flow yako ipoje
Uwe na bank angalau tatu
EXIM
Standard chartered na crdb zisikosekane
 
Back
Top Bottom