Friendship connect (tuunge urafiki) tafadhali!

Friendship connect (tuunge urafiki) tafadhali!

Mkuu kwani kuna nini hapo? Naona sielewi msamaha unamuombea nani tena mkuu😀😀, hiyo ni baada ya kugoma kuwekwa kwenye list ndo povu kubwaa kweli kweli limekuja

BRAND HAIJIBU COMMENTS ZA HATERS
Mbona kashanikubalia tangu kale mkuu. Nakuombea msamaha ili nisijione nina hatia nikiwa nasakata mbususu kiasi cha performance yangu kushuka 😂.
 
Sajawahi 😂.
Unajua ukitaka kuona mtu yukoje gusa kwenye udhaifu wake weeeh lazima POVU lijae jaba

Kamind kisa kamjua demu wangu nilimtaja hapo, na nimemkataaa zaidi ya mara tatu🤣🤣😀

Na wana wanasema washajipigia akina sheremaya, wacha nienjoy penzi langu na Ua la waridi sitaki pisi zingine

Already branded🔥
 
Back
Top Bottom