Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 2,154
- 6,116
Hapana kwanza siamini hayo mamboWewe hautaki kuchajiwa nyota rasii
Hapana kwanza siamini hayo mamboWewe hautaki kuchajiwa nyota rasii
Binti wa zamani nimekumiss mammy 😏😏Wapi nimepambana bwashee 😅
Daah wewe hujaona wakuconnect naye🤣🤣Naona wenye nyota zao wamesha ji connect kwenye huu uzi
Mpaka sasa nina list ya watu watano wanaomtaka seranMkuu naona unajaribu kunishawishi nimwache mrembo Seran ili wewe umchukue bila pingamizi.
@ Seran nampenda na kumpendelea 😘.
Huyu shetani anataka kulimega tunda langu 😂.Hadi huyu 😅 basiiiiiii
Huyo nishajipigia sana tokea 2025 nikamuacha 😇😇
Seran napendana naye, anapendana nami.Mpaka sasa nina list ya watu watano wanaomtaka seran
1. Min-me
2.dosho12
3.harmful
4.the sonboy
5.secretarybird
Haya sasa najua watairuka hii comment hao niliowataja hapoHuyo nishajipigia sana tokea 2025 nikamuacha 😇😇
Acha makasiriko binti nlokole🤣🤣Basi acha wakupambanie wewe👌🏽
Huyu nae nani kwani 🤢Huyo nishajipigia sana tokea 2025 nikamuacha 😇😇
We unanionea wivu nimekuachia nafasi yangu basi🤭Acha makasiriko binti nlokole🤣🤣
Me nadeal na wachina wenzangu tuView attachment 3525354
Aaaah acha basi binti we si ulijisifu umewapanga hao wahuni au?We unanionea wivu nimekuachia nafasi yangu basi🤭
Si ndio ushangae labda nayeye anawataka mfyuu!Wapi nimepambana bwashee 😅
Aaaah nlokole mbona umepata hasira ghafla usiwe kama amantombezane zingine 😏😏Si ndio ushangae labda nayeye anawataka mfyuu!