XiexieNdo manini😅
Umenipotezea nauli😅😅 Nyie wote mmechelewaaa.. mtoto kachachuka anataka nikambadilishe nguo
😂😂😂😂 daah mambo ya nyota siyo mchezoMzee wa nyota huyo , Kuna group moja la watu wa nyota nilikuwepo wake za watu walilombwa na jamaa mmoja vibaya sana kwa madai ya kuwachajia nyota
Nikawa nawachora tu
Naenda tu mtoa nguo za ndani alafu tunarudi kukusubiri 😅😅Umenipotezea nauli
Njoo kwanguAtanilaza nje ntakosa vyote😂😂
Mlete kwangu nimbadilishe usisumbuke 😁😅😅 Nyie wote mmechelewaaa.. mtoto kachachuka anataka nikambadilishe nguo
Unataka kunichoma sio😅Njoo kwangu
Wewe hautaki kuchajiwa nyota rasii😂😂😂😂 daah mambo ya nyota siyo mchezo
😅 Ngoja atoke bafuni nimvishe lingerie.. alafu nimfikishie ujumbe wakoutamwambia sisi mapacha tunao fanana😅