johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mwana kulitafuta mwana kulipata!
Yaani unasema unataka solution but then unataka ile inayokupendeza wewe, kwa mwenye utimamu wa akili atajua wazi wewe hutaki ushauri, unajibaraguza tu.Kwa kuzingatia maambukizi ya corona kwenye nchi zilizoendelea, tahadhari zilizochukuliwa na mafanikio ya tahadhari hizo, idadi ya wagonjwa na idadi ya vifo vya corona kwenye nchi hizo Mbowe aje na ushauri nini kifanyike.
Wakati tunatoa lawama tuwe na solutions pia, ziwe zile zilizofaulu kupambana na hii corona bila kuiathiri jamii na kupelekea watu kufa kwa presha, sukari kupanda, njaa na upweke
Wewe ndio umechanganyikiwa kweli, kwahiyo kwa akili zako kama jana Corona haikuwepo basi na leo haiwezi kuwepo pia!Shida ya viongozi upinzani ni UNAFIKI wa hali ya juu. Kipindi kile walitoka bungeni kwa hoja ya kwamba Covid inawamaliza Watanzania na kila siku miili inaokotwa barabarani huku Serikali ikiwa kimya,
lakini cha kushangaza miezi michache baadae viongozi hawa hawa wa upinzani wakafanya mikusanyiko na kuongoza mamia ya watu kumpokea Lissu pale Airport
Miezi michache mbele tena, wakaingia katika kampeni za uchaguzi mkuu ambapo huko tumeshuhudia mikusanyiko mikubwa ya watu sehemu mbalimbali
Kipindi chote hicho hakuna kiongozi wa upinzani aliyekuwa akizungumzia corona wala kutoa tahadhari kwakuwa tu walikuwa busy kutafuta malisho yao, sasa kipindi hiki ndipo wanaamka kuanza kutoa matako kuhusiana na corona
Nawashauri viongozi wa upinzani kuweni na misimamo thabiti juu ya mienendo yenu, kwasababu mnawachanganya sana Wafuasi wenu
Aje na solutions au mapendekezo yanayoweza kutatua tatizo na yanawezekana.Yaani unasema unataka solution but then unataka ile inayokupendeza wewe, kwa mwenye utimamu wa akili atajua wazi wewe hutaki ushauri, unajibaraguza tu.
Hii mentality yenu ndio ujinga anaouzungumzia Mbowe.

Nimecheka sanaaaaaMbowe hawezi kutweet ujinga kama huu, nitakuwa wa mwisho kuamini!
Mkuu kesha sema: "Tanzania is a Corona-free country". Nani ndani ya serikali aseme tofauti.Corona ipo, hata madaktari huko Muhimbili wanawaambia wazi marafiki zao wanaopeleka wagonjwa kutibiwa huko wagonjwa wa Corona wamejaa, sasa kuendelea kupinga huu ukweli ni ujinga.
Shida ya viongozi upinzani ni UNAFIKI wa hali ya juu. Kipindi kile walitoka bungeni kwa hoja ya kwamba Covid inawamaliza Watanzania na kila siku miili inaokotwa barabarani huku Serikali ikiwa kimya,
lakini cha kushangaza miezi michache baadae viongozi hawa hawa wa upinzani wakafanya mikusanyiko na kuongoza mamia ya watu kumpokea Lissu pale Airport
Miezi michache mbele tena, wakaingia katika kampeni za uchaguzi mkuu ambapo huko tumeshuhudia mikusanyiko mikubwa ya watu sehemu mbalimbali
Kipindi chote hicho hakuna kiongozi wa upinzani aliyekuwa akizungumzia corona wala kutoa tahadhari kwakuwa tu walikuwa busy kutafuta malisho yao, sasa kipindi hiki ndipo wanaamka kuanza kutoa matako kuhusiana na corona
Nawashauri viongozi wa upinzani kuweni na misimamo thabiti juu ya mienendo yenu, kwasababu mnawachanganya sana Wafuasi wenu
Nimeshauriwa kuifunga ofisi yangu ya mjini kwa angalau mwezi 1, huwezi kuamini aliyenishauri yuko South Africa.Wakuu tuchukue tahadhari Corona ipo hasa maeneo ya City Center,na hii ya sasa ni balaa zaidi hauchukui siku tatu.
Mwezi huu tu nishapoteza jamaa wa tatu, na wa mwisho ni jana tu.Nimeshauriwa kuifunga ofisi yangu ya mjini kwa angalau mwezi 1 , huwezi kuamini aliyenishauri yuko South Africa