Freeman Mbowe: Misimamo ya Serikali kuhusu Corona inaathiri wengi

Freeman Mbowe: Misimamo ya Serikali kuhusu Corona inaathiri wengi

Corona ipo, hata madaktari huko Muhimbili wanawaambia wazi marafiki zao wanaopeleka wagonjwa kutibiwa huko wagonjwa wa Corona wamejaa, sasa kuendelea kupinga huu ukweli ni ujinga.
Serikali ikipiga kelele watu waanze kunawa mikono waache kuzurula hovyo waache salam za kushikana mikono wavae barakoa inatosha kuonyesha kuwa Serikali inajali Afya za wananchi wake, lakini sasa Serikali imekaa kimya kwa maana kwamba inataka watu wafariki kwa wingi wauze majeneza sana wapate pesa
 
Mama D, nilitaka nikuchumbie, 😀 😀 😀 😀 kumbe na wewe ndio hao hao wa Lumumba! Loh salale! Cha kufanya kinajulikana from time immemorial. Simple, WHO has guidelines on how to take precautions against CORONA! Rais Magu is denying the existence of corona while he knows it is there, that is mass murder as put by Mbowe, uharamia!
Hehehe Saitakuaje Retired na hakuna kuchumbiwa mara mbili😂😂😂😂
Rais Magufuli alishasema haya hapa

Kama mbowe ana nyongeza aseme sio alalamike. Ukiwa kiongozi unatakiwa kutoa direction, na kama huoni njia heri unyamaze kuliko kuongea vitu visivyo tekelezeka
 
Hebu wekeni huo ushauri wenu na mbowe hapa tuuone
Nishakwambia Jiwe aliweka wazi hahitaji ushauri. Mbona hampendi kumtii mh rais? Nyie ndiyo mnasababisha anakuwa na frustration kila wakati sababu ya ujeuri wa kutomtii
 
Ndei uyo.
Kwenye kampeni akuonekana akivaa barakoa wala social dastance leo hii ndo anaona kuna Covid-19.
Acha ubwege ufala kipindi cha kampeni hakukuwa na wimbi la wageni kuja Tanzania kama ilivyokuwa mwezi wa 12 ambapo idadi kubwa ya watu tokea india kwenye covid 19 kubwa sasa walimimika Tanzania kwa wingi na pia wengine tokea mataifa mbalimbali wameleta maambukizi makubwa ndiyo maana sasa corona imepamba moto sana
 
Nishakwambia Jiwe aliweka wazi hahitaji ushauri. Mbona hampendi kumtii mh rais? Nyie ndiyo mnasababisha anakuwa na frustration kila wakati sababu ya ujeuri wa kutomtii
Mtukufu kakimbilia chato kujificha baada ya kuona Dsm na Dodoma hakufai kwa sasa
 
Denying the existence of the virus and using the President pulpit to lie to the mass, hence causing the mass not to take precautionary measures is tantamount to commiting genocide while denying genocide itself!! . What Jiwe is doing is purely murder full stop!
 
Hebu wekeni huo ushauri wenu na mbowe hapa tuuone
Ushauri upi tena wakati mtukufu kaenda kujificha chato akiacha watanzania waangamie kwanza, kama ni ushauri tumwambie atangaze corona ipo Tanzania watu waanze kunawa mikono waache salam za mikono wapake vitakasa mikono watulie majumbani kusipo ni mikusanyiko ya hovyo hovyo
 
Hamasa ya kunawa mikono kuvaa barakoa kutosalimiana kwa mikono irejee kwa nguvu kubwa kunusuru watanzania
Hamasa ya namna hiyo haihitaji kukoromewa na serikali.
Mtu ukijihisi kuna umuhimu wa kuchukua tahadhari dhidi ya Corona fanya hivyo, usisubiri hadi serikali ikuambie.
Mbona hamsubiri serikali iwahamasishe kuvaa condoms kwani UKIMWI umeisha?
 
Denying the existence of the virus and using the President pulpit to lie to the mass, hence causing the mass not to take precautinary measures is tantamount to commiting genocide while denying genocide itself. This is pure murder full stop!
Mtukufu anataka watanzania wafe kwa wingi ili WHO watoe mpunga wa kutosha azitumie kujengea Reli ambayo ujenzi wake unasua sua kutokana na ukata
 
Ushauri upi tena wakati mtukufu kaenda kujificha chato akiacha watanzania waangamie kwanza, kama ni ushauri tumwambie atangaze corona ipo Tanzania watu waanze kunawa mikono waache salam za mikono wapake vitakasa mikono watulie majumbani kusipo ni mikusanyiko ya hovyo hovyo
Nishakwambia Jiwe aliweka wazi hahitaji ushauri. Mbona hampendi kumtii mh rais? Nyie ndiyo mnasababisha anakuwa na frustration kila wakati sababu ya ujeuri wa kutomtii
 
Hamasa ya namna hiyo haihitaji kukoromewa na serikali.
Mtu ukijihisi kuna umuhimu wa kuchukua tahadhari dhidi ya Corona fanya hivyo, usisubiri hadi serikali ikuambie.
Mbona hamsubiri serikali iwahamasishe kuvaa condoms kwani UKIMWI umeisha?
Na watoto wadogo waendelee kwenda shule?
 
Hamasa ya namna hiyo haihitaji kukoromewa na serikali.
Mtu ukijihisi kuna umuhimu wa kuchukua tahadhari dhidi ya Corona fanya hivyo, usisubiri hadi serikali ikuambie.
Mbona hamsubiri serikali iwahamasishe kuvaa condoms kwani UKIMWI umeisha?
Wapo watu hununa kukasirika sana endapo unakataa kumsalimia kwa kumshika mikono, lakini Serikali wakipiga marufuku salam za kushikana mikono wataacha kuwanunua kuwalaumu watu, Mbona awali Serikali walihimiza tahadhari iweje sasa hakuna tahadhari? Wanataka nini?
 
huwa serikali inawahimiza watu wakienda chooni wanawe mikono? hivi wewe ukifanya kama ulivyoelekezwa hapo awali unapoteza nini?WHO ilishasema kuwa tujifunze kuishi na corona.wazembe ndiyo wanataka lock down .pumbavu
 
Mimi namshauri Freema Alkael Mbowe aiache serikali ifanye kazi, maana yeye na chama chake wametuchelewesha sana.

KUWATETEA WATANZANIA NI KUJITAFUTIA MATATIZO YASIYO YA LAZIMA.

Yaache yafe mkuu. Corona imeondolewa kwa maombi ya mtakatifu Jiwe.

MITANO TENA JAMANI.
Mbona walifanya kampeni kipindi cha corona hatukusikia malalamiko?
 
Back
Top Bottom