Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,009
- 74,643
Kwa hiyo wajumbe wa bodi ya zabuni wilaya ya Hai ni family yake?mbowe ni jipu pia tenda zote kachukua mwenyewe hapa Hai
Kwa hiyo wajumbe wa bodi ya zabuni wilaya ya Hai ni family yake?mbowe ni jipu pia tenda zote kachukua mwenyewe hapa Hai
Mbowe mwenywe jipu uchungu limeishapakawa choroko linasubiri kuiva litumbuliwe.
Kibamba na Ubungo nasikia kuna maji mengi sana mpaka wanalima mpunga.Ritz wenzio hawana maji bagamoyo
Rudia kusoma ulichoandika.Ungemsema ni kiupele ningekuelewa ndo mana wala haongelewi sbb kila mtanganyika ni kipele tunatafuta mijipu mikuu hiyo mitatu ikitumbuliwa rutapata nafuu kama si kupona
Mh. Mbowe ataja Majipu matatu Makubwa. Amewataja Mkapa, Kikwete na Sefue na kumtaka Rais Magufuli ayatumbue.
![]()
Kama ENL na Sumaye walivyofichwaMhhh alafu tulisahau kuyatumbua!!
Kweli mzee Mkapa hajakosea khaaa!!!!HAKUNA NA KAMA MAJIPU YAKO ANZA WEWE KUYATUMBUA[emoji57] [emoji57]
Nimechelewa kugundua kuwa unaandika kishabiki ila chadema ni taasisi kubwa, wana chama wake si malaikaMbona zinaonekana
Freeman kajisahau nae jipuMh. Mbowe ataja Majipu matatu Makubwa. Amewataja Mkapa, Kikwete na Sefue na kumtaka Rais Magufuli ayatumbue.
![]()
Sio rahisi ajitaje mwenyewe, anatakiwa atokee mtu mwenye ujasiri amtaje kama alivyofanya yeye kutaja hao aliowataja.Mhh mbona hajajitaja yeye na Lowasa?
Kibamba na Ubungo nasikia kuna maji mengi sana mpaka wanalima mpunga.
Mwenyezi Mungu ailinde afya yako....hakika hujui usemalo.Mkuu Mwanahabari Huru,
Hayo siyo majipu yote, mengine ni Ma Tezi Dume yanatakiwa yakatwe!!!
Tatazo lako unafananisha katiba ya chadema na ya ccm rudi kasome katiba ya Chadema weweMbowe mwenyewe jipu,anaendesha chama kinyume cha katiba,zaidi ya siku 90 zimepita chama hakina katibu,anapaswa kutumbuliwa yeye kwanza kabla ya kuona kibanzi kwa wenzake
Wewe unayejua usemayo upo hapo lumumba kusaka tongeMwenyezi Mungu ailinde afya yako....hakika hujui usemalo.
Tatizo vijana wa michicha sijui mnaokotwa wapi maana siasa hamjui kazi povu tuNikujibu nini wewe ndie unayenikuzia majambo ya majipu, unaniletea ya Znz mie humu....subiri tu. Bora utafute wengine wa kurumbana nao na unayotaka kujadili sina muda huo.
BAADA YAKUPIGA PUSHUP HEWA GANI ILITOKA?Kama Mbowe aliweza kufanya watu wazima wazungushe mikono kama matahaira....Sijui nini kitafanya ashindwe kuwaendesha Nyumbu wake.