Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 955
- 1,315
Bado haibadili ukweli kwamba walichofanya walini-disappoint. Kwani Lowassa si aliwajibika na akajiuzulu tena kwa kulazimishwa na bunge kuwa ajitathimini mwenyewe kama anafaa? Hata hao pia (jk, ben na sefue) kamanda mkuu anaweza kuwapokea na kuwasafisha kuwa ni wasafi hawana hatia ilimradi tu kuwe na maslahi kwake. Hamna aibu yoyote nayopata mimi, infact I'm just an ordinary man tu, sina maslahi binafsi na siasa wala mwanasiasa.Sefue katumbuliwa Leo 5/3/2016 kwahiyo heri usingechangia .ungehepuka aibu hii Leo.jifunze kutafakari kabla