Freeman Mbowe: Majipu matatu haya hapa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Mh. Mbowe ataja Majipu matatu Makubwa. Amewataja Mkapa, Kikwete na Sefue na kumtaka Rais Magufuli ayatumbue.

img-20160220-wa0072-jpg.324542
 

Attachments

  • IMG-20160221-WA0015.jpg
    IMG-20160221-WA0015.jpg
    64.8 KB · Views: 95
  • IMG-20160220-WA0072.jpg
    IMG-20160220-WA0072.jpg
    50 KB · Views: 223
Hahaha hao jamaa wa magwanda bure kabisa ujue....sio hata wakuwaamini tena....imagine leo jk na mkapa kahamia ukawa watakua sio majipu tena bali almasi!! I believed them once bt they broke my trust!!
Yule aliyekuja kweli ni Halmasi mbona mlinunua magari mengi ya washawasha kumdhibiti ile hali mlishindwa kuwachimbia wananchi visima? Mlihaha mpaka mkawapa uniform mpya polisi,mehaha mpaka mlishindwa chakachua Zanzibar... haha ukawa imewashika pabaya ssna tumbueni hayo majipu tuone
 
Tutaamini vp? Ikiwa walisema Lowassa fisadi na ushahidi wanao, baadaye wakasema Lowassa msafi anayeona ni fisadi atoe ushahidi apeleke mahakamani. Leo kashasahau yote hayo anataka kutuaminisha tena mengine.
 
Hilo halitokei, rais hawezi shitaki rais mstaafu. Zambia mfano mzuri wamejifunza hapo, iwe unamshitaki kwa dhati ama Fitina!
 
Kutaja majina tu hata wehu wanaweza.

Hata ile orodha ya Mwembeyanga ambayo hamtaki hata kuisikia kwa sasa nayo mliropoka hivi hivi.
KAMA Ilivyo Kwa Wale Waliokuwa Wakisisitiza Kuwa Wana Ushaidi Wa KUITHIBITISHIA MAHAKAMA Ufisadi Wa Mh. LOWASSA, ALISEMA Hivyo SAMUEL SITTA, HARRISON MWAKYEMBE, YUSUPH MAKAMBA, MAKONGORO NYERERE, JAKAYA KIKWETE, HUMPHREY POLE POLE, ABDALAH BULEMBO N.k .TENA Walizunguka Nchi Nzima Kusema Wana USHAIDI Wa Kuthibitisha Hilo Mbele Ya MAHAKAMA!!! SASA WATANZANIA WANASUBIRI Kuona MAFISADI WAKUBWA WALIOTAJWA Kipindi Cha KAMPENI Wakikamatwa, Wakihojiwa, Wakishitakiwa, Wakifungwa Na Wakifiisiwa Mali Zao Zooote!!!!! HATA Wale Walionunua MELI CHAKAVU Kwa Billion 8 Na KUMDANGANYA MAGUFULI Wkt Wa KUIZINDUA, Kuwa Ni MPYA!!!! YAANI "MAJIPU " Makubwa Hayajaguswa Kabisa!!
 
Back
Top Bottom