Freeman Mbowe: Majipu matatu haya hapa

Freeman Mbowe: Majipu matatu haya hapa

Mkuu hawezi kukujibu pitia hotuba ya Rais alipopewa nafasi kusalimia kule Singida "mtawala hapendi kutawaliwa hasa na vyama vya hovyo hovyo"
Sasa ujue ulikuwa ni mkakati wao wa inayoitwa kwa vyovyote
Wana ukuruzinza wakutisha
 
Mkuu hakika unajielewa saaana
Angalau Tanzania ingekua hata na robo ya idadi ya watu wa uelewa wako kwa kweli tungekua mbele sanaa
 
Kazi ya siasa ni mbaya kwa afya ya akili roho na mwili. kama kuna mbingu kwa kazi kuingia mbinguni ni vigumu kama ngamia kupenya tundu la sindano
 
Kazi ya siasa ni mbaya kwa afya ya akili roho na mwili. kama kuna mbingu kwa kazi kuingia mbinguni ni vigumu kama ngamia kupenya tundu la sindano
Siasa wanayofanya chama cha Majipu ni Ngumu sana kuona ufalme wa mbinguni
 
Hayo anayozunguka nayo ni vichunusi hata wewe nguchirro unaweza kuviminya.
Aliotaja ndo majipu uchungu yatumbuliwe tu
Mkuu achana na huyo akili nusu kijiko wa Lumumba, hajui tafauti ya Chunusi,Jipu na Busha
 
Ungemsema ni kiupele ningekuelewa ndo mana wala haongelewi sbb kila mtanganyika ni kipele tunatafuta mijipu mikuu hiyo mitatu ikitumbuliwa rutapata nafuu kama si kupona
Hao kuguwa ni majaliwa atakua analipa fadhila
 
KAMA Ilivyo Kwa Wale Waliokuwa Wakisisitiza Kuwa Wana Ushaidi Wa KUITHIBITISHIA MAHAKAMA Ufisadi Wa Mh. LOWASSA, ALISEMA Hivyo SAMUEL SITTA, HARRISON MWAKYEMBE, YUSUPH MAKAMBA, MAKONGORO NYERERE, JAKAYA KIKWETE, HUMPHREY POLE POLE, ABDALAH BULEMBO N.k .TENA Walizunguka Nchi Nzima Kusema Wana USHAIDI Wa Kuthibitisha Hilo Mbele Ya MAHAKAMA!!! SASA WATANZANIA WANASUBIRI Kuona MAFISADI WAKUBWA WALIOTAJWA Kipindi Cha KAMPENI Wakikamatwa, Wakihojiwa, Wakishitakiwa, Wakifungwa Na Wakifiisiwa Mali Zao Zooote!!!!! HATA Wale Walionunua MELI CHAKAVU Kwa Billion 8 Na KUMDANGANYA MAGUFULI Wkt Wa KUIZINDUA, Kuwa Ni MPYA!!!! YAANI "MAJIPU " Makubwa Hayajaguswa Kabisa!!
umesahau na lile jipu la kivuko cha dar bagamoyo hili nu jipu lake mwenyewe sa sijui nani atamtumbua
 
Back
Top Bottom