Mkuu mm hapo lumumba napasikia tu hata huko dsm mm sipajui vizuri.Ukitoka hapo Lumumba ndio utaelewa ninachokwambia na ndio faida ya haya ninayokwambia utayaona
Na uwamini mm sijawahi kumiliki iwanachama wa chama chochote kile ktk maisha yangu.
Nasijawahi kupenda utendaji wa kazi wa rais yoyote kama huyu tulie nae.