Freeman Mbowe: Majipu matatu haya hapa

Freeman Mbowe: Majipu matatu haya hapa

Ni kweli, malalamiko yote ya Magufuli ya kusema ana uchungu na sisi kwasababu hatukufaa kuwa ombaomba wahusika ndo hao alowataja Mbowe. Magufuli utawatumbua ? Kuuzwa kwa nyumba za serikali kwa bei cheee ni jipu la nani.
 
Alafu leo chama cha Majipu kinakwambia gape la walionacho na wasionacho watalipunguza kweli ccm ni ile ile
yani hawa wanatufanya sisi wapuMBavu sana,, wanaJifanya kutuMBua MaJipu wakati wenyewe ndo MaJipu yaliyo hivaa na yatatuMBuka yenyewe Muda siyo Mrefu,,!
 
Mh. Mbowe ataja Majipu matatu Makubwa. Amewataja Mkapa, Kikwete na Sefue na kumtaka Rais Magufuli ayatumbue.

img-20160220-wa0072-jpg.324542
mbona kasahau kumtaja Lowasa ?kwa nini?? nadhani jipu kubwa kabisa ambalo lilishaiva linatakiwa lipasuliwe kwa operation maalum.
 
Hee! ! Ya Zanzibar basi tena ! Jamaani ! Na mbona lowassa ajamtaja?
 
Huo ni unafiki wakisiasa leo unamsema mkapa kikwete na sefue wakija kwako wasafi.aanze na luwasa na sumaye kwanza.mbowe aache kutuona sisi wajinga.tunaona chali wangu.
 
Akili zenu zimeishia hapo hapo, kwenye matusi ambayo mmeanza kujifunzia ukubwani. Hoja zinapowaishia mnaonyesha jinsi gani mlivyo na akili nyepesi. Zungusha mikono halafu kakojoe ulale.
Ungeongea ya maana ungesomeka lkn ni kama nguchirro
 
Ni kweli, malalamiko yote ya Magufuli ya kusema ana uchungu na sisi kwasa, bu hatukufaa kuwa ombaomba wahusika ndo hao alowataja Mbowe. Magufuli utawatumbua ? Kuuzwa kwa nyumba za serikali kwa bei cheee ni jipu la nani.
kamanda kuuzwa kwa nyumba za serikali muulizeni Sumaye. kipindi hicho yeye ndie alikuwa waziri mkuu. msiwe mnasahau mambo,mnaweza zungumza mengine kishabiki mwisho wake yanawarudia wenyewe? ?
 
KAMA Ilivyo Kwa Wale Waliokuwa Wakisisitiza Kuwa Wana Ushaidi Wa KUITHIBITISHIA MAHAKAMA Ufisadi Wa Mh. LOWASSA, ALISEMA Hivyo SAMUEL SITTA, HARRISON MWAKYEMBE, YUSUPH MAKAMBA, MAKONGORO NYERERE, JAKAYA KIKWETE, HUMPHREY POLE POLE, ABDALAH BULEMBO N.k .TENA Walizunguka Nchi Nzima Kusema Wana USHAIDI Wa Kuthibitisha Hilo Mbele Ya MAHAKAMA!!! SASA WATANZANIA WANASUBIRI Kuona MAFISADI WAKUBWA WALIOTAJWA Kipindi Cha KAMPENI Wakikamatwa, Wakihojiwa, Wakishitakiwa, Wakifungwa Na Wakifiisiwa Mali Zao Zooote!!!!! HATA Wale Walionunua MELI CHAKAVU Kwa Billion 8 Na KUMDANGANYA MAGUFULI Wkt Wa KUIZINDUA, Kuwa Ni MPYA!!!! YAANI "MAJIPU " Makubwa Hayajaguswa Kabisa!!
waliozunguka nchi nzima kumsema Lowasa ni fisadi ni team Mbowe yote, Lema, Kubenea, Dr Slaa, Tundu lissu ambaye aliandaa list of shame. hawa wote walidai wana ushahidi tosha. sasa watuambie ilikuwaje wakawakumbatia hao mafisadi waliokuwa wanawasema
 
Nyie kwenye kampini ya 2015 mlimzungumzia vasco Dagama
 
kamanda kuuzwa kwa nyumba za serikali muulizeni Sumaye. kipindi hicho yeye ndie alikuwa waziri mkuu. msiwe mnasahau mambo,mnaweza zungumza mengine kishabiki mwisho wake yanawarudia wenyewe? ?
Aliyeuza nyumba na barabara na Big G bila kusahau hasara ya Meli ya samaki tuliongia Watanzania ni Mtu moja wacheni kuleta ujanja ujanja
 
Mbowe mwenyewe jipu,anaendesha chama kinyume cha katiba,zaidi ya siku 90 zimepita chama hakina katibu,anapaswa kutumbuliwa yeye kwanza kabla ya kuona kibanzi kwa wenzake
 
KAMA Ilivyo Kwa Wale Waliokuwa Wakisisitiza Kuwa Wana Ushaidi Wa KUITHIBITISHIA MAHAKAMA Ufisadi Wa Mh. LOWASSA, ALISEMA Hivyo SAMUEL SITTA, HARRISON MWAKYEMBE, YUSUPH MAKAMBA, MAKONGORO NYERERE, JAKAYA KIKWETE, HUMPHREY POLE POLE, ABDALAH BULEMBO N.k .TENA Walizunguka Nchi Nzima Kusema Wana USHAIDI Wa Kuthibitisha Hilo Mbele Ya MAHAKAMA!!! SASA WATANZANIA WANASUBIRI Kuona MAFISADI WAKUBWA WALIOTAJWA Kipindi Cha KAMPENI Wakikamatwa, Wakihojiwa, Wakishitakiwa, Wakifungwa Na Wakifiisiwa Mali Zao Zooote!!!!! HATA Wale Walionunua MELI CHAKAVU Kwa Billion 8 Na KUMDANGANYA MAGUFULI Wkt Wa KUIZINDUA, Kuwa Ni MPYA!!!! YAANI "MAJIPU " Makubwa Hayajaguswa Kabisa!!
Hivi kweli kuna binadamu alipitia darasa la pili na asijue kanuni za uandishi kwamba iwe Kingereza, kiswahili au kichina, n.k kila sentensi inaanza kwa herufi kubwa, na si vinginevyo. Kuna watu kama mimi wanaona kinyaa kusoma threads zako zenye herufi kubwa kila mwanzo wa neno! Hawa ni watu waliohitimu angalao darasa la tatu. Nahisi threads zako zinalenga watu wenye uelewa chini ya hapo, na JF siyo size yao.
 
Back
Top Bottom