Freeman Mbowe: Majipu matatu haya hapa

Freeman Mbowe: Majipu matatu haya hapa

Yeye mwenyewe Mbowe anasubiri kutumbuliwa. Alipewa uongozi mwaka 2004, alipaswa kukabidhi uongozi kwa mwingine mwaka 2014, leo hii 2016 anawanyooshea vidole wengine, wakati kutumbuliwa kunamhusu pia.
Naona umesoma katiba ya michicha pole sana
 
Naona jiwe limekupata ukakimbilia nyumba!!!

Jipu la muidhinishaji mkuu wa uuzwaji wa hizo nyumba mnalo huko ufipa! Tena lilikuja hadharani kujitetea wakati linatangaza nia kupitia CCM. Sumayi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Huyo hapo kwenye pic ni nini
 
Naona umesoma katiba ya michicha pole sana
Nimepiga ngumi ya mbavuni, pole sana kama umeumia. Mbowe ni dikteta kama wale wengine unaowajua. Kipindi cha miaka 10 ya mbowe kilimalizika mwaka juzi lakini kwa sababu wanachadema wengi wana akili za aina yako, mnaendelea kupelekeshwa kama magari mabovu.
 
Yaani kwa akili za kinyumbu kama zako ipo siku DJ atawapeleka mto mara mzame mliwe na mamba...ngoja 2020 joka la makengeza lije mlisafishe hamna jinsi.
Bora nyumbu kuliko fisi anayemfuata binadamu nyuma kusubiri mkono udondoke ili aule
 
Nimepiga ngumi ya mbavuni, pole sana kama umeumia. Mbowe ni dikteta kama wale wengine unaowajua. Kipindi cha miaka 10 ya mbowe kilimalizika mwaka juzi lakini kwa sababu wanachadema wengi wana akili za aina yako, mnaendelea kupelekeshwa kama magari mabovu.
Hiyo katiba nafikiri mlitunga nawakina nkuruzinza pale lumumba
 
Sasa wewe ulivyofundishwa inamisha mgogo hapo lumumba ndio unafikiri huku watu wanafundishwa tuu huku nikwawaerevu
Hamna jinsi kijana,ngoja DJ awatumie atakavyo hapo ufipa angalau J5 ladys free haba bills awalete huku mmepanuwa miguu na mikono.
 
Pls stick to the topic,mada ni Richmond,kwa nini mtuhumiwa bado anadunda mtaani hatumbuliwi?Au Magu kasahau kuwa Richmond ni jipuuuuu?
Majipu makuu ni hayo matatu meshatajiwa mnawewe seka nini? Richmond nendeni mahakamani
 
Mkuu Mwanahabari Huru,

Hayo siyo majipu yote, mengine ni Ma Tezi Dume yanatakiwa yakatwe!!!
 
Back
Top Bottom