Freeman Mbowe: Majipu matatu haya hapa

Freeman Mbowe: Majipu matatu haya hapa

Hahaha hao jamaa wa magwanda bure kabisa ujue....sio hata wakuwaamini tena....imagine leo jk na mkapa kahamia ukawa watakua sio majipu tena bali almasi!! I believed them once bt they broke my trust!!
hawa magwanda ni vinyago vya mpapure
 
Magufuli akitumbua hayo mawili basi ye kidume. Ila hapo hatoboi.....
 
UMEAMINI??
Kaka kwangu Mbowe namuamini labda kwa 2% ambazo ni Mungu tu anajua. Mbowe ni opportunist na hiyo ndio sababu pekee imemfanya ampokee Lowassa, nje ya hapo hakuwa na sababu ya kumpokea. Usiwaamini sana wanasiasa kaka shirikisha kichwa chako. I was just like you lakini kadri nilivyoona mambo yanavyoenda niliamua kuwa na kiasi kwa hawa politicians. kumbuka mtaji wa wanasiasa ni watu (sisi). Ukikubali kuwa mshabiki ndio neema kwao maana hauta - question. Mbowe leo hii hana haki ya kuniambia nani fisadi nani msafi.... Alishapoteza hiyo sifa na hata ikitokea kamtaja mtu akatumbuliwa kwangu ni coincidence tu lakini siwezi kumpa hiyo credit come on.. maana alishaamua kuikanyaga yeye mwenyewe!
 
Kutaja majina tu hata wehu wanaweza.

Hata ile orodha ya Mwembeyanga ambayo hamtaki hata kuisikia kwa sasa nayo mliropoka hivi hivi.

Kumbe hamjifunzi tu hii tabia ya kutaja taja majina ya wanaume ovyo?
MHESHIMIWA MAGUFULI AMESHAANZA KUMTUMBUA OMBENI SEFUE, UNASEMAJE?
 
Kaka kwangu Mbowe namuamini labda kwa 2% ambazo ni Mungu tu anajua. Mbowe ni opportunist na hiyo ndio sababu pekee imemfanya ampokee Lowassa, nje ya hapo hakuwa na sababu ya kumpokea. Usiwaamini sana wanasiasa kaka shirikisha kichwa chako. I was just like you lakini kadri nilivyoona mambo yanavyoenda niliamua kuwa na kiasi kwa hawa politicians. kumbuka mtaji wa wanasiasa ni watu (sisi). Ukikubali kuwa mshabiki ndio neema kwao maana hauta - question. Mbowe leo hii hana haki ya kuniambia nani fisadi nani msafi.... Alishapoteza hiyo sifa na hata ikitokea kamtaja mtu akatumbuliwa kwangu ni coincidence tu lakini siwezi kumpa hiyo credit come on.. maana alishaamua kuikanyaga yeye mwenyewe!
Ufisadi wa Lowassa upo wapi maana ameka ccm miaka yote hawajampeleka hata takokuru, na Lowassa alishasema mzigo hule niwa Kikwete
 
Mbona hakumtaja Lowasa amabaye wamekuwa wakimtuhumu miaka yote.
 
Mbona hakumtaja Lowasa amabaye wamekuwa wakimtuhumu miaka yote.
Lowassa mpaka ameondoka huko kwenu mlishindwa mfikisha hata Takokuru inamaana nimsafi sana na ule mzigo ulikua niwa Boss wake anajua kila kitu
 
Lowassa mpaka ameondoka huko kwenu mlishindwa mfikisha hata Takokuru inamaana nimsafi sana na ule mzigo ulikua niwa Boss wake anajua kila kitu
Suala hapa Mbowe alisema Lowasa alitakuwa kuwa jela na amemuandama miaka yote lakini mwishowe ikajulikana Mbowe walikuwa na wivu wa kisiasa dhidi ya Lowasa. Kwahiyo hata hili la Mkapa et al huenda ni wivu wake ule ule. Sasa hivi Mbowe hawezi kuwa na moral authority ya kumnyooshea kidole fisadi yoyote. Naye ni wale wale.
 
Hekima kwanza :Tafadhali mlisema mafisadi wameenda upinzani je hao wanaotumbuliwa wako upinzani? Jamani CCM hakuna msafi wote mafisadi
 
Mh. Mbowe ataja Majipu matatu Makubwa. Amewataja Mkapa, Kikwete na Sefue na kumtaka Rais Magufuli ayatumbue.

img-20160220-wa0072-jpg.324542
Mh. Mbowe ataja Majipu matatu Makubwa. Amewataja Mkapa, Kikwete na Sefue na kumtaka Rais Magufuli ayatumbue.

img-20160220-wa0072-jpg.324542
Hii nchi, walaji ni wengi. majipu ni vigumu kuyamaliza. lakini pia kuna mijipu na vijipu na viupele
 
Hahaha hao jamaa wa magwanda bure kabisa ujue....sio hata wakuwaamini tena....imagine leo jk na mkapa kahamia ukawa watakua sio majipu tena bali almasi!! I believed them once bt they broke my trust!!
Sefue katumbuliwa Leo 5/3/2016 kwahiyo heri usingechangia .ungehepuka aibu hii Leo.jifunze kutafakari kabla
 
Hao kina mbowe na kundi lake hata waseme nini hawaaminiki wamejiharibia wenyewe kumchukuwa luwasa na sumai wakati walisha zunguka dunia nzia wakiwanadi kiwa ni mafisad
Leo wamewakumbatia na kutaka kutuaminisha kuwa ni watu safi.
Hawana tena hadhi ya uwaminifu ktk kauli zao.
 
Back
Top Bottom