Freeman Mbowe, awanunulia watu wa Hai gari la takataka

Freeman Mbowe, awanunulia watu wa Hai gari la takataka

Kalenga?
Chalinze?
Kata tatu chopa tatu?
Serikali za mitaa?

Hivi wewe toka wanaanza kuchukuwa form za kugombea nafasi ya kuchaguliwa ndani ya CCM umeshaona chadema wakiongelewa humu? magwanda wote wamehamia kuwaongelea wana CCM.

Sana sana leo nimeona chadema wanashangilia gari la taka. Kwi kwi kwi teh teh teh! Misukule wana taabu kweli kweli, hata gari la kuzolea taka wanashangilia.

Hujiulizi kwanini?

Post zako zinaelezea uelewa wako ulivyo,form za urais wachukue ccm iongelewe cdm? Unapo post kitu tuliza akili kwanza siyo unakurupuka,tulia na kaa vizuri dawa iingie vizuri
 
Post zako zinaelezea uelewa wako ulivyo,form za urais wachukue ccm iongelewe cdm? Unapo post kitu tuliza akili kwanza siyo unakurupuka,tulia na kaa vizuri dawa iingie vizuri

Na wewe ni CCM?

Kashangilie gari la taka huko.

Mnajuwa kuwa Rais atatoka CCM hilo hamna hata ubishi nalo ndiyo maana sasa hivi hakuna cha kuongea isipokuwa CCM, CCM, CCM.

Kinana kawapatia kweli mwaka huu. Yeye huyo anazunguka na kitu kipya kina kitanda friji ndani, jiko, super bed, office, internet, dstv, azam tv, satellite phones na manjonjo mengine kibao. Anamwaga sera tu vijijini, nyie shangilieni CCM.
 
Akili yako imefungiwa ndani ya kuta 4.
 
Wana nchi wanao ongozwa na wapinzani haswa chadema kwenye majimbo yao wana mengi ya kujivunia na wamechagua njia bora kabisa ya kuharakisha maendeleo yao.

Hii inaonyesha kuwa upinzani ni neema na baraka kwenye majimbo hivyo tujifunze kwa na wenzetu na majimbo mengine tuige kwa maendeleo yetu na vizazi vyetu.

Tunajua wataongea mengi lakini tusivunjike mioyo tuchague njia na fungu sahihi kwa maendeleo ya taifa letu.

Hongera chadema ,hongera wananchi wa hai mkoani kilimanjaro.

Maendeleo siyo bahati wala maneno mengi bali ni mipango makini inayofanywa na watu makini kama kaka yetu freeman mbowe .

Hiyo sio priority kwa sasa maana kwanza hai sio manispaa ,zaidi ya pale bomangombe ,amna sehemu nyingine yenye makazi ya kulitumia hilo gari , kwa hiyo amewalenga watu wa bomangombe tu , bila kujua hai ni kubwa sana
 
Ndg. Mapunga, unanionea bure tu, mimi nimehoji, kwanini Freeman hakutoa huo msaada siku zote akasubiri miezi kadhaa kabla ya uchaguzi ndipo anatoa? Huoni kama ni ulaghai wa kisiasa huo? That means uchaguzi ukipita hakuna kinachoendelea mpaka uchaguzi mwingine ukaribie tena.
kweli mbowe toka achaguliwe hajawahi fanya lolote zaidi ya kuwasilisha hilo gari la taka? basi kama ni hivyo hatochaguliwa tena kurudi bungeni
 
"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda tu kuomba. Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu, unachotakiwa ni kujieleza, wakikuelewa, watakupa"

Jakaya Kikwete.

Aseme basi ni msaada wa CDU na si wake.

Tanzania ina kila kitu ukimwona mtu anakwenda kuomba nchi zilizoendelea huyo hatufai hata kidogo .Mwl J.K.Nyerere.
 
Na wewe kaombe haya hapa dar nanga inapaaa kawaombee basi uwape ccm manake nyie ni wazee wa fitna.

Hakuna siku magwanda mmenichekesha kama leo, mnashangilia gari la taka?

Hizo gari huko Hai si atabebea nini? maana huko hakitupwi kitu, utumbo na mavi yake hautupwi watu wanakula tu, ngozi za mbuzi watu wanakula tu, maganda ya ndizi ndiyo usiseme, chakula cha mbuzi. Makaratasi ndiyo toilet paper zao. Mifuko ya plastiki huko haitupwi inakusanywa na iliyochanika inaunganishwa na chupa tupu za plastiki inakwenda kuuzwa.

Nyie mnafikiri hata mji wa Moshi kwanini hauna taka? haitupwi taka huko seuse Hai. Cheza na wachagga!

"Wewe ulifkirrri hii mifuko niliokotaaa? nilinunua kwa pesaaa, sasa unaitupa ya niniii?" Chagga accent.

Sasa hilo gari la taka huko litabeba nini? Nnashaangaa!
 
Ndg. Mapunga, unanionea bure tu, mimi nimehoji, kwanini Freeman hakutoa huo msaada siku zote akasubiri miezi kadhaa kabla ya uchaguzi ndipo anatoa? Huoni kama ni ulaghai wa kisiasa huo? That means uchaguzi ukipita hakuna kinachoendelea mpaka uchaguzi mwingine ukaribie tena.
Kwa miaka zaidi ya 50 ya utawala wa ccm hapajawahi kuletwa gari kama hilo na sasa kaja mbunge wa upinzani kaleta msaada hilo ndilo tatizo kubwa . Unaposema miaka minne ya ubunge hebu fikiri pia palikuwa na miaka zaidi ya 50 mlifanya nini ???
 
Back
Top Bottom