Mwanachama Sahihi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 572
- 217
Kaombe tende maana tutakula tu. Kila mtu kwa majaliwa yake.Kajitolea au kaomba msaada CDU?
Kaombe tende maana tutakula tu. Kila mtu kwa majaliwa yake.Kajitolea au kaomba msaada CDU?
Viongozi inabidi waige kutoka kwako kwa kuwa na moyo wa kujitolea kwa wapiga kura wako
![]()
Nyie viongozi wenu washawahi kutoa nini?
Alikuwa wapi siku zote? Tapeli la kisiasa hilo.
Hilo gari ni rushwa.
Mussa allan sijui uoleweee???? yanawauma wapuuzi.ccm ninyiiii
Freeman ni mbunge wetu na ametufanyia mengi sana mema na ya kuigwa poleni na roho zenu mbaya kwa wanaomchukia
Huyo mbunge wako wa mkuranga kawafanyia nn
nini
Mwaka wa uchaguzi huu tutaona na kusikia mengi sana.
Mkuu punguza wivu,ndio mjue kuwa cdm imejipanga kuchukua nchi kwa kushirikiana na ukawa
Ndg. Mapunga, unanionea bure tu, mimi nimehoji, kwanini Freeman hakutoa huo msaada siku zote akasubiri miezi kadhaa kabla ya uchaguzi ndipo anatoa? Huoni kama ni ulaghai wa kisiasa huo? That means uchaguzi ukipita hakuna kinachoendelea mpaka uchaguzi mwingine ukaribie tena.
shame on you Allan....anaipunguzi mzigo serikali yako ya kipuuzi mengine shukuruni japo kidogoooo....roho za korosho kama nn
Mkuu FaizaFoxy bora yeye Mh. Mbowe ameomba msaada na unaonekana wazi. Wale wa kule kwa shangaazi wanaotapatapa sasa kwa kuandika maandiko ya miradi kudanganya wananchi mbona sijaona misaada yao? Ninaamini wanapata wanakula na familia maana chama chao ndivyo kilivyo. Halafu uchu wa madaraka hatari. Sijui mpaka kipenga cha mwisho msafara utakuwa unavuka mpaka wa Kenya @ wanaotangaza nia!!Kajitolea au kaomba msaada CDU?
Ndg. Mapunga, unanionea bure tu, mimi nimehoji, kwanini Freeman hakutoa huo msaada siku zote akasubiri miezi kadhaa kabla ya uchaguzi ndipo anatoa? Huoni kama ni ulaghai wa kisiasa huo? That means uchaguzi ukipita hakuna kinachoendelea mpaka uchaguzi mwingine ukaribie tena.
Mnataka kuchukua Nchi kwa gari la Taka? Muipeleke wapi sasa?
Mkuu FaizaFoxy bora yeye Mh. Mbowe ameomba msaada na unaonekana wazi. Wale wa kule kwa shangaazi wanaotapatapa sasa kwa kuandika maandiko ya miradi kudanganya wananchi mbona sijaona misaada yao? Ninaamini wanapata wanakula na familia maana chama chao ndivyo kilivyo. Halafu uchu wa madaraka hatari. Sijui mpaka kipenga cha mwisho msafara utakuwa unavuka mpaka wa Kenya @ wanaotangaza nia!!